Huu uzi unaongoza kwa kudorora
Nimekuja kuwahimiza ili mpaze sauti ili timu yenu iache kusajili michezaji ya uchochoroni kama utopoloSasa unafata nn huku?
Nyie wa kwenu mnawasajili kutoka gerezaniNimekuja kuwahimiza ili mpaze sauti ili timu yenu iache kusajili michezaji ya uchochoroni kama utopolo
Huu uzi unaongoza kwa kudorora
Nimekuja kuwahimiza ili mpaze sauti ili timu yenu iache kusajili michezaji ya uchochoroni kama utopolo
HahahahaSisi tunachojivunia ni Fanbase na sio Plastic Fans.
Kuna Timu zina mashabiki wengi lakini sio Fanbase bali ni Plastic Fans waliojiunga kipindi Timu hizo zinabeba Makombe, They are nothing but Glory Hunters.
Timu hizo ni Chelsea, Man City na Barcelona.
• Washabiki wa Barcelona wamejiunga 2005 baada ya kuvutiwa na Ronaldinho, na 2009 baada kuvutiwa na Messi. Hawa ni Plastic Fans na watatoweka watabakia wale wa Real tu.
• Washabiki wa Chelsea watakupa historia ya Vialli kama waliwahi kumuona akicheza kumbe wanagoogle, Wengi wao ni Plastic Fans wamejiunga mwaka ilioanzishwa Timu hiyo 2005 kumfata Mourinho aliyekuwa akibeba Makombe! Timu ikipotea na wao watapotea.
• Washabiki wa Man City wao ndiyo kabisa hamna kitu.
But sisi Liverpool hatuhitani Mademu Plastic Fans bali tunahitani real Fanbase. Wengi wetu timeipenda Liverpool ikiwa sawa na Bolton haijui hata kombe linabebwaje.



aliyeelewa kaelewa












COYG





Acha kufokaAcha kuandika upumbavu kwanini timu zinaongeza mashabiki.
Unataka wote wawe liverpool..au liverpool ndo inamashabiki bora zaid ..na mashabiki waliyoongezeka msimu huu wa liverpool imefanya vizuri nao ni plastic fan?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app


unarusha mate,Acha kufokaunarusha mate,
Hakuna timu pale
Hahahahaaliyeelewa kaelewa
Mimi na mods wenzangu tuna mpango wa kubadilisha ule uzi wa Chelsea uwe makutano ya watu wanaojiingizia kipato kwa njia ya betting, maana hamna mashabiki pale,
COYG
![]()
Nyie mashabiki wa Arse8 saiv munatembea kifua mbeleAcha kufokaunarusha mate,
Hakuna timu pale
14,000/= mpaka 20,000/=Msaada kidogo! Naanda Dokezo hapa la kwenda Tanga, Ivi kutoka Dar to Tanga kwa Basi nauli shilingi ngapi kwa anayejuwa?
14,000/= mpaka 20,000/=
Kijana nakusalimu!! Naona unanikwepaLol!! Huyu ni wewe mkuu?![]()
Lakini sikuhizi si unakupa raha?
Basi ukajiona kichwaa mwenyewe? Haya maswali tulikua tunaulizana primary leo hii jibaba linauliza maswali ambayo hata mtoto mdogo anaweza kuyameza google.Tena wale Madogo wanavituko kweli! Kuna mmoja Jana tulikuwanaye Kijiwe anajifanya kutoa historian ya Babayaro alipokuwa Chelsea.
Nikamwambia nitajie matukio mawili muhimu aliyoyafanya kwenye mechi ambayo Chelsea iliitwanga Manure Goli 5 kwa Nunge, Jamaa kaganda kwani anaogopa kusema kitu huku hana uhakika kama Babayaro alicheza au hakucheza ile.
Nikamwambia basi nitajie Babayaro alikuwa akivaa Jezi namba ngapi? Eboooo hamna Kitu.
Nikamuuliza Frank Leboeuf alikuwa anacheza Timu gani na namba ngapi? Kimya.
Nikamuuliza Wafaransa wangapi kutoka Chelsea walikuwa wakicheza Timu ya Taifa ya Ufaransa World Cup 1998? Kimya.
Nikamwambia Dogo tunaposema Chelsea imeanzishwa mwaka 2005 na ndiyo mwaka iliyoanza kupata Washabiki na Nyinyi ndiyo mulipojiunga Muwe munatuelewa.
Ushawahi kuona tunasajili uchochoroni sieNyie wa kwenu mnawasajili kutoka gerezani
Niambie ndani ya miaka miwili hii mchezaji gani wa maana mmesajiliWachezaji gani hao wataje,msimu uliopita ndio mmeongoza kwa kutumia hela nyingi kwenye usajiri lakini msimu umeisha mmeshindwa kuchukua kombe hata moja.
Vipi magwaya kesi yake imeisha huko?