Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa nimesema tulikuwa tupo Kijiwe maongezi ya Face to Face hiyo google utaingia kama Terminater au?
Kwani walimu wanapotunga maswali si majibu huwa wanakua nayo kichwani?
Nipe Shikamoo ndiyo salamu sahihi ya kunipa mimi kwa Mshabiki wa Timu iliyoanzishwa 2005.
Dogo tulia wewe bado kinda. Timu yangu siyo justification ya umri wangu
 
Nina uhakika wakati Unazaliwa Mimi ninasoma Shule ya Msingi kama sio Sekondari.

Ungelikuwa una umri wa kufatilia Mpira kabla ya 2005 nina uhakika usingekuwa Mpenzi wa Chelsea bali ungekuwa Arsenal au Manure aliyetukuka.
 
Basi ukajiona kichwaa mwenyewe? Haya maswali tulikua tunaulizana primary leo hii jibaba linauliza maswali ambayo hata mtoto mdogo anaweza kuyameza google.

Mnataka kutuaminisha kujua mambo hayo ndio kujua mpira. History ipo google yawezekana hata wewe umegoogle.

Hapo usijesema nimekufokea. Naheshimu nafasi zenu ila tusiweke vigezo katika kuheshimiana ukizidiwa hoja kausha.
Sasa kwahiyo Mwl wa chekechea unataka amuulize mwanafunzi wake swali la form six?
Kutokana na utoto wenu, mnaulizwa maswali munayoendana nayo!
(Dozi lazima izingatie umri)

Ukirudi urudi na hoja usifoke

Na mimi nakazia hoja yake kuwa hakuna shabiki wa Chelsea/Man City wa kweli kabisa aliye over 25yo,
Wengi ni under 20 wamekuja na upepo wa kisulisuli wa Mourinho 2005

Ukiliona libaba la over 25 linashabikia Chelsea/Man City hilo ni LISAKA USHINDI au SHABIKI LA PLASTIKI
baada ya kupata maumivu kutoka katika vilabu vya LIVERPOOL, ARSENAL, MANCHESTER likaona lijiegeshe kidogo kwa mchepuko ili kupunguza maumivu ndio likalowea huko ila nyumbani kukinoga linarudi faster,
Kama Babu Mawe alivyojipumzikia PSG katika harakati zake za kusaka raha

Ndio maana ukubwa wa Club mimi siupimi kwa followers wa social networks, maana haya mamitandao ya kijamii yamekuja tu juzijuzi na wengine hawayatumii kabisa na wana timu zao wanazoshabikia,
Pia tafsiri ya kufollow timu/mtu sio kwasababu unampenda au unashabikia timu hiyo,
wengi wana-follow ili kuhabarika/kupata habari kutoka kila angle, kwa mfano mimi nimezi-follow karibu timu zote za ligi kuu England, sasa nashabikia timu zote?

Na wengi wana-follow ili kujua kinachoendelea kwa wapinzani(haters)

Haji Manara ana followers wengi wa Yanga ambao wamem-follow ili wapate habari na wamtukane(haters)

Mimi naangalia Fanbase, na ndio hiyo ambayo timu kubwakubwa kama Liverpool, Man Utd na Arsenal inazifanya kuwa juu muda wote,
 
Yani Mshabiki wa Chelsea yuko tayari umwambie umepatikana kwa bao la Nyeto kuliko kumwambia Timu Yenu imeanzishwa 2005 😂😂
 
Huu ni msumari wa moto umegusa mfupa

Inawezekana hata hajui kama Chelsea kabla ya 2005 ilikuwa kwenye Level za Kina Bolton manake hata Leeds United, Spurs na Everton zilikuwa kubwa kwa Wakati huo kuliko Chelsea 😂😂
Sasa imagine nani angelikuwa Mshabiki wa Chelsea.
Nakumbuka kabla ya 2005 ni Manure na Arsenal tu ndiyo Wanarunishiana Misuli 😂😂 sisi Liverpool tulikuwa Wasindikizaji tu tukipambana na Alhaj Diof anatema mate kama Nyoka 😂😂
 
Yes.
IMG-20200824-WA0013.jpg
 
Inawezekana hata hajui kama Chelsea kabla ya 2005 ilikuwa kwenye Level za Kina Bolton manake hata Leeds United, Spurs na Everton zilikuwa kubwa kwa Wakati huo kuliko Chelsea
Sasa imagine nani angelikuwa Mshabiki wa Chelsea.
Nakumbuka kabla ya 2005 ni Manure na Arsenal tu ndiyo Wanarunishiana Misuli sisi Liverpool tulikuwa Wasindikizaji tu tukipambana na Alhaj Diof anatema mate kama Nyoka
Acha kelele wewe acha kutufokea..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom