Sasa kwahiyo Mwl wa chekechea unataka amuulize mwanafunzi wake swali la form six? [emoji23]
Kutokana na utoto wenu, mnaulizwa maswali munayoendana nayo!
(Dozi lazima izingatie umri)
Ukirudi urudi na hoja usifoke[emoji2788]
Na mimi nakazia hoja yake kuwa hakuna shabiki wa Chelsea/Man City wa kweli kabisa aliye over 25yo,
Wengi ni under 20 wamekuja na upepo wa kisulisuli wa Mourinho 2005
Ukiliona libaba la over 25 linashabikia Chelsea/Man City hilo ni LISAKA USHINDI au SHABIKI LA PLASTIKI[emoji23]
baada ya kupata maumivu kutoka katika vilabu vya LIVERPOOL, ARSENAL, MANCHESTER likaona lijiegeshe kidogo kwa mchepuko ili kupunguza maumivu ndio likalowea huko[emoji23][emoji23] ila nyumbani kukinoga linarudi faster,
Kama
Babu Mawe alivyojipumzikia PSG katika harakati zake za kusaka raha[emoji1787]
Ndio maana ukubwa wa Club mimi siupimi kwa followers wa social networks, maana haya mamitandao ya kijamii yamekuja tu juzijuzi na wengine hawayatumii kabisa na wana timu zao wanazoshabikia,
Pia tafsiri ya kufollow timu/mtu sio kwasababu unampenda au unashabikia timu hiyo,
wengi wana-follow ili kuhabarika/kupata habari kutoka kila angle, kwa mfano mimi nimezi-follow karibu timu zote za ligi kuu England, sasa nashabikia timu zote?
Na wengi wana-follow ili kujua kinachoendelea kwa wapinzani(haters)
Haji Manara ana followers wengi wa Yanga ambao wamem-follow ili wapate habari na wamtukane(haters)
Mimi naangalia Fanbase, na ndio hiyo ambayo timu kubwakubwa kama Liverpool, Man Utd na Arsenal inazifanya kuwa juu muda wote,