Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwishoni mwa msimu sijui huwa tunakumbwa na nini mfano if ingekuwa inabeba reality sijui ingekuaje kama gap lingekuwa 10pts

Game za mwanzo tunaweza anza vizuri tu Kama kipindi Cha BR
Yeah hapo Mkuu kuna shinda kwenye kumalizia sijui mandogo hua wapo hoi ama niaje...

Ili tuwe katika nafasi bora lazima mzunguko wa kwanza tuwe ni ushindi tu hakuna namna...

Nwa Klopp alisema msimu ujao He will attack the EPL trophy ngoja tuone mpaka dirisha linafungwo alimaanisha nini haswa..

Mtihani ni pale unatazama ma star performers wetu ni 28yrs plus hivyo hata consistency itaanza kupungua due to wear and tear.. EPl ni ligi ngumu balaa.

Hope behind the scenes wanafanya kazi kutuletea wachezaji wa ukweli..

YNWA
 
Nimeibuka mzeee

Machungu yameishaaaa...

Apa tukikamilisha usajili tutakuwa tunakula vichwa msimu ujao bila huruma..

#CFC
😂😂😂Mkuu kua na maneno ya akiba aisee...

EPL hainanga hizo..

Utapigika tu...

Hongera kwa usajili murwa kabisa Timo, Hakim na Kai ki ukweli hao wote nilitamani niwaone Liverpool...

YNWA
 
Ni wakati wa kumfahamu klopp.
Mimi nimeamua kumfahamu klopp kwa sababu hizi.
KLOPP ni kocha asiyependa kuonesha chuki zake wazi wazi au sio mgomvi.

Tuanzie hapa.

Anasema hapendi kua na kikosi kikubwa chenye gharama hapa naona anawabeba FSG. Jamaa ni wagumu sana hivyo anapambana kwendana nao bila migogoro.

Tujikumbushe sakata la Mane na Salah kunyimana pasi jinsi alivyokua anadeal nalo kuanzia kwenye media mpaka huko mafichoni (dressing room, phone,mazoezini n.k).

Klopp sio mtu wa kusema huyu lazima aondoke tuanzie kwa Sackho, Moreno, clyne, lallana na hata lovren ambaye ilisemekana huenda akaongeza mkataba.

Ninaamini, Klopp na Edward bado wanaumiza vichwa sana toward hii transfer window.
Mimi nasubiri deal done.
 
Klopp ni habari nyingine kwenye suala la mahusiano yake na wachezaji.. I can say he is the best in the business.. Nakumbuka msimu ule mechie dhidi ya Manchester United kwao alimtoa Hendo na our CP hakupenda kutolewa hivyo hakuficha emotions zake vile alichukizwa na hio sub.. Sasa media nyingi tu walisema ndio mwisho wa Hendo chini ya Klopp.. Akaja kuulizwa Klopp vipi Hendo mbona vile akasema anahitaji wachezaji wawe na ari, passion to fight for the team etc yaani alii punch kiasi hata alieuliza swali hakua na la kusema...

Alivyoulizwa hio ya Mane na Salah akasema he is okay kuona both are hungry to score and help the team..

Klopp hayumbishwi kirahisi aisee..

With Klopp it's more than just a hug hawa wachezaji anawa treat kama wanae.. Even meeting za one on one he is always there to accommodate them...

YNWA
 
Unadhani hawa Contents Managers wa JF hawazijui tabia zetu sisi members?
Kwahiyi usidhani kuwa kuna watu humu tunaweza kupigwa Ban kijingajinga

Lakini nikikuitia wewe Mods ndani ya dakika sifuri unalimwa Ban
Haha
 
Mkuu huo ndio ukweli kuntu...

Kuumia kwa Laporte kuliwagharimu mno washindani wetu kiasi walijutia kumwachia Vincent aodoke... Hayo mawili tu ndio kigezo cha jamaaa kupoteana.. Sasa wameanza kazi usajili moto moto...

Sasa kwetu mzee baba ni muda wa kukaa mkao wa kusubiri na huku media nyingi za majuu zikidai kwamba tupo vizuri bila hata kusajili na eti tumeshinda ubingwa huu bila kuingia sokoni sana mwaka jana mwezi 6 2019 na January 2020 kama wengine...

Ukweli ni kwamba tunihitaji usajili ili kwenda sawa na wenzetu..

Imagine Manchester City pale walipo wanadai wachezaji watano usajili ndio wawe kamili lol..

Ukweli tuna bahati pia ya wachezaji wetu kutoumia mara kwa mara.. Kama vile VVD, Trent, Salah nk wamekua na msimu bora kabisa.. sasa yajayo hatuyajui kabisa ndugu..

Tulipo sasa

Naona leo magazeti mengi Jamal Lewis huyu ni one for the future hana hata assist moja msimu mzima.. Labda chini ya Klopp atabadilika..

YNWA
Hahaha

Kumbe huyo dogo hana assist hata moja?
 
Hahaha

Kumbe huyo dogo hana assist hata moja?
Hahaha usimchoke sana ndugu wamekaa EPL msimu mmoja aisee..

Hata Robertson alikaa Hull City misimu mitatu huku akichangia assist 8 tu katika misimu mitatu lakini tangu aje kwetu ana assist 28 ndani ya misimu mitatu domestically...

Kwa vile Jamal anakuja kua under study wa Robertson aje tu mkuu hatuna namna.. Ana umri mdogo na yupo tayari kutua japo sio kwa hio bei ya £20m...

Tuvute subira tuone...

YNWA
 
Norwich wanatuchukulia vipi lakini

Norwich have rejected #LFC's opening offer of £10m for Jamal Lewis
Hawa lazima wakomae wanajua vyema uzalishaji wa mabeki wa kushoto hua ni adimu sana pia huyu ana meet vigezo vya home grown hivyo tutafika bei.. .

Ndogo nadhani ana miaka 22 hivyo watakomaa angalau wapate £10m plus wapewe mchezaji mmoja...

Ila offer yao ya kutaka tu-double naona kubwa sana kwa huyu dogo

Ngoja tuone Edwards atawachomoaje
 
Baada ya ATM kuwagalagaza nje ndani, na kuwasukumia kipigo heavy kwenye sebule yenu anfield

Kesho njooni mujione namna pep anavowadhalilisha RAM pale etihad, anawapiga nje ndani,

nyie subilini mwaka ujao League ya wanaume kabaki pep
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom