Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji23][emoji23][emoji23]unakimbilia polisi@moderator
[emoji23][emoji23][emoji23]unakimbilia polisi@moderator
Tajiri msomi vp tena?Nataman Klop ahame Liverpool, watamuharibia heshima yake wale
Lile jamaa lakujiita Kingwaba qummer sana kuna siku limeita mod mpaka kaniban faller huyu nilitaka nimlipizie
Ww jamaa umekuja jukwaa letu kule umetutukana ,
Huku wamekubananisha , unaomba msaada wa mods
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unataka raha gani mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unafikiri hawa Mods wa humu hawana akili[emoji23][emoji23][emoji23] yaani uzingue wewe alafu utegemee kuwasababishia wengine ban[emoji3], watu wanaangalia chanzo, na wewe ndio chanzo sasa ban uliyoiita utaipata kabla ya giza halijaingia.....Lile jamaa lakujiita Kingwaba qummer sana kuna siku limeita mod mpaka kaniban faller huyu nilitaka nimlipizie
Wewe jamaa sio mshabiki wa mpira mashabiki siku zote hawanaga tabia kama zako inaelekea umelelewa malezi ya kudekadeka sana sasa angalia sana hii duniaUnadhani hawa Contents Managers wa JF hawazijui tabia zetu sisi members? [emoji23][emoji23]
Kwahiyi usidhani kuwa kuna watu humu tunaweza kupigwa Ban kijingajinga [emoji23][emoji23]
Lakini nikikuitia wewe Mods ndani ya dakika sifuri unalimwa Ban [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye majukwaa ya mipira hamnaga kumsababishia mwenzio ban hapa ni kama vibanda umiza we ushawahi kuona kibanda umiza mtu akitukanwa anakimbilia polisi auSasa unafikiri hawa Mods wa humu hawana akili[emoji23][emoji23][emoji23] yaani uzingue wewe alafu utegemee kuwasababishia wengine ban[emoji3], watu wanaangalia chanzo, na wewe ndio chanzo sasa ban uliyoiita utaipata kabla ya giza halijaingia.....
Nakumbaliana nae kabisa...mnakubaliana na stev?View attachment 1527181
Ndio maana nimekushangaa wewe unavyokimbilia polisi[emoji23][emoji23][emoji23], na kiuhalisia hujatukanwa maana umeambiwa tu kuwa kama wataka raha upewe kidole, sasa mbona ukawa unapiga kelele za kuita mods kama ulikuwa wapata maumivu makali sana huko.Kwenye majukwaa ya mipira hamnaga kumsababishia mwenzio ban hapa ni kama vibanda umiza we ushawahi kuona kibanda umiza mtu akitukanwa anakimbilia polisi au
Mi nilikuwa nataka nimrudishie nayeye ale ban ila basi nimempotezeaNdio maana nimekushangaa wewe unavyokimbilia polisi[emoji23][emoji23][emoji23], na kiuhalisia hujatukanwa maana umeambiwa tu kuwa kama wataka raha upewe kidole, sasa mbona ukawa unapiga kelele za kuita mods kama ulikuwa wapata maumivu makali sana huko.
Yameisha lakini rudi kule unyumbuni wenzio wanamsubiri Jaso sancho[emoji23][emoji23] mkampokee, au BvB hawataki pesa za mafungu?
Mi nilikuwa nataka nimrudishie nayeye ale ban ila basi nimempotezea
Huyo Ollachuga Oc anajipigaga ban la siku tatutatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu anaibukia majukwaa mengine kwanza kisha ndo anarudi kule kwao,Tatizo huyo Mode unayemuita ndiye mimi mwenyewe King Ngwaba sasa imagine nitajipigaje self ban kama Ollachuga Oc alipoliwa na Arsenal! [emoji23][emoji23][emoji23]
dogo punguza matusiLile jamaa lakujiita Kingwaba qummer sana kuna siku limeita mod mpaka kaniban faller huyu nilitaka nimlipizie
hahhaaaaaaaa, nasikia tunamtaka Lewis wa Norwich!
kama watamhusisha Larouci aisee itabdi waweke na buyback clause!Jamal Lewis to Liverpool as a back up for Robertson!! I support this
jamaa linaumwa hili, haya matoto ya man u kero kweliMpe raha bhana eboo!
huyo Ollachuga Oc namfananishaGa na jamaa mmoja alikua anajiita kichwani chelsea moyoni chelsea kule fb jukwaa la sport xtra alikua maarufu sana[emoji23]Huyo Ollachuga Oc anajipigaga ban la siku tatutatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu anaibukia majukwaa mengine kwanza kisha ndo anarudi kule kwao,
Leo kaonekana kule kwa Manyumbu anajipoza. [emoji3]