Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
4 3 3 ya Liva siyo attacking ni 4 3 3 holding. Ingekua 4 3 3 attacking Wijnaldum kuscore isingekua tatizo.

Na Henderson angekua anashambulia.

The reason these two hawawezi niliyoyasema ni kwakua inachezwa 4 3 3 holding.

Ok now kwa hiko kinachochezwa unatarajia Henderson (wewe unadai ni AMF) achezeje? Mimi najua jamaa ni CMF lakini timu yenu haitegemei CMF katika kuattack inategemea speed, stamina na skills za wingers wenu (Salah na Mane) katika hilo.

Also mimi nashabikia Arsenal, nilichoongea ni kwa kadri ninavyouona mpira wenu so kama mna siri za kambi itakua sizijui. Nisamehe ndugu.

On Paper 4-3-3 inaandikwa hivi

GINI - FABINHO - HENDO

na wengi munaitfsiri hivyohivyo kama ilivyoandikwa! Ndugu uwanjani Viungo hawachezi kwa kujipanga hivyo kwa mstari kama ilivyoandikwa!

Hapo wakifika uwanjani Hendo anakuwa mbele Juu (attacking), Gini anakuwa Kati (Central Mid) na Fabinho anakuwa Chini (Difensive Mid). Hawaendi sambamba wote kwa pamona kama ilivyoandikwa.

Sababu ya kuwa ndani ya Liverpool Gini hafungi ni kwamba sikuzote huchezeshwa Nyuma ya Hendo lakini mbele ya Fabinho.
Hivyo mfumo wetu wa 4-3-3 unayo attackiu Mid. Usikariri namba kuwa zimejipanga 4-3-3 wala usikariri mifumo wa Makocha wengine ukayaleta kwa Klopp.
Udhaifu wa Mchezaji kwenye Kiungo cha kushambulia usiufiche kupitia Mfumo.
 
Hahaha sasa mzee nimeweza kukuelezea kwanini Henderson haattack na De Bruyne anaattack kisha unaamini mimi uelewa wangu juu ya 4 3 3 ni hivyo unavyosema?

Hahaha 4 3 3 ya Man City inakua kwamba pale kwenye 3 Mid Rodri anakua nyuma as DMF De Bruyne na Silva wanakua mbele km AMF.

Tukinyambua tutasema ni 4 1 2 3.

Tukinyambua formation uliyoleta wewe ambayo unasema Fabinho ni DMF kisha Gini CMF halafu Henderson awe AMF hebu nisaidie tunapata nini?
 
Hii Club bahili sanaa, sijui inatokea upaleni huko

Mnaokota vitoto kwa vya bei chee, bado mnataka kudominate League

Wekeni pesa mezani, mikono mitupu hailambwi

Wachezaji watawakimbia soon

Masikin havumiliki
Hapa ndo umeongea point tangu uanze kuvamia jukwaa hili mkuu
 
Hivi wakuu Sisi huwa tunakwama wap? Sana Sana Mana fekir ilobaki kidogo atue haya timo ni Sisi ndo tulianza wakwanza leo leo hayupo au hatuna. Bahati na wachezaji? Mana sielewi
 
Hawana uwezo watufunga Arsenal wenyewe wanajua kabisa.

Me nilikuwa nawatamani sana nyinyi ili tuwashushie kipigo kama kile tulichowapa mpaka ukakimbia humu kutokana na maumivu makali uliyoyapata.
Sisi tuna uhakika arsenal watawapiga maana yale ndo makombe yao ya historia..

Ile game mulitupiga maana ninyi muko vizuri alafu mulikuwa home..

#CFC
 
msimu ujao tutawaburuza sana.

CFC
Ki ukweli tutaburuzana hamna namna...

Mara pap Hakim na Timo wakaanza maisha yao darajani kama alivyoanza Pulisc haha utakimbia uzi huu walah ndugu maana utakua unapigika tu.. Ama Timo akawa kama Shevchenko ama Torres 😂😂😂wewe haya

Yajayo yanafurahisha..

YNWA
 
Ki ukweli tutaburuzana hamna namna...

Mara pap Hakim na Timo wakaanza maisha yao darajani kama alivyoanza Pulisc haha utakimbia uzi huu walah ndugu maana utakua unapigika tu.. Ama Timo akawa kama Shevchenko ama Torres wewe haya

Yajayo yanafurahisha..

YNWA
Yani ni bonge la mchezaji kiasi cha kufanana na kina Torres?
 
Hahaha sasa mzee nimeweza kukuelezea kwanini Henderson haattack na De Bruyne anaattack kisha unaamini mimi uelewa wangu juu ya 4 3 3 ni hivyo unavyosema?

Hahaha 4 3 3 ya Man City inakua kwamba pale kwenye 3 Mid Rodri anakua nyuma as DMF De Bruyne na Silva wanakua mbele km AMF.

Tukinyambua tutasema ni 4 1 2 3.

Tukinyambua formation uliyoleta wewe ambayo unasema Fabinho ni DMF kisha Gini CMF halafu Henderson awe AMF hebu nisaidie tunapata nini?

Rejea kusoma tena post uliyoniquote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom