Aisee na iwe hivyo ila mie naona kama vile Klopp atauza kwanza ili anunue...
Unajua wachezaji wengi wanaouzwa inakua ni malipo ya muda mrefu kwa mfano mchezaji anauzwa £60m unakomaa upfront deposit ya £20m na ulipe balance kwa instalments £40m, zinalipwa hata miaka 3 ama zaidi,.. Mtihani mkuu ni mshahara ambao hua hauna mkopo ndugu.. Ila kama ni kununua zipo njia mbadala hata mkopo wa benki kama vile tulivyomnunua Torres enzi hizo..
Miaka hii 3 tumepata ela nyingi tu EPL, UCL nk hivyo siamini kama tumeishiwa kiasi hicho...
YNWA