Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu huo ndio ukweli kuntu...

Kuumia kwa Laporte kuliwagharimu mno washindani wetu kiasi walijutia kumwachia Vincent aodoke... Hayo mawili tu ndio kigezo cha jamaaa kupoteana.. Sasa wameanza kazi usajili moto moto...

Sasa kwetu mzee baba ni muda wa kukaa mkao wa kusubiri na huku media nyingi za majuu zikidai kwamba tupo vizuri bila hata kusajili na eti tumeshinda ubingwa huu bila kuingia sokoni sana mwaka jana mwezi 6 2019 na January 2020 kama wengine...

Ukweli ni kwamba tunihitaji usajili ili kwenda sawa na wenzetu..

Imagine Manchester City pale walipo wanadai wachezaji watano usajili ndio wawe kamili lol..

Ukweli tuna bahati pia ya wachezaji wetu kutoumia mara kwa mara.. Kama vile VVD, Trent, Salah nk wamekua na msimu bora kabisa.. sasa yajayo hatuyajui kabisa ndugu..

Tulipo sasa

Naona leo magazeti mengi Jamal Lewis huyu ni one for the future hana hata assist moja msimu mzima.. Labda chini ya Klopp atabadilika..

YNWA
Mimi nimeamua kusubiri deal done tu.
Mzee alishasema hasajili kwa sababu wengine wanasajili, atasajili kwa sababu ya uwepo wa pesa na mahitaji ya timu.

Kauli hii tusubiri tu, naona anasubiri kuwaondoa kwanza waliopo kisha target zije.
Tujipe tumaini. Ila kutumia kigezo hatukusajili na mafanikio hayo (behind hili kuna mengi ya kuchambua hapa).
Ki ukweli mabingwa watetezi tuna presha kubwa kusubiri signing more than 4.
 
Adjustments.jpg
 
Pep katika ubora wake kashapata wawili Torres kutoka Valencia ni winga na beki machachari Ake mwenye uzoefu wa EPL..

Yetu macho na masikio

YNWA
I had expected this. Kuna shabiki wa arsenal nilikua nae tukidadavua mbili tatu nikamwambia pep atasajili kama ndio amekuja kwa mara ya kwanza. Na tayari amefanya hivyo.
Ujue
Pep hajawahi kuachwa point nyingi hivi ndio mara ya kwanza.
Pep hajawahi kufungwa mechi 7+ kwenye msimu mmoja.

Amejiona kudhalilishwa hivyo anataka kurekebisha hii record.
 
Fact! Sio sir hii gepu ya point imemuamsha pep hasira zote na anataka kumwaga wachezaji wa 5 kwny kikosi sisi tusipoimarisha kikosi atatuacha mbali mapema sana
 
Sancho huyo Manure

Kai huyo Chelsea

Man City anahitaji Watano

Liverpool tunahitaji Madogo wa 16years old kwa ajili ya future plan
mimi nadhani tatizo linaweza kuwa lipo hata kwa fsg, hawa jamaa nao kutoa pesa kirahisi ni mziki, na saizi wanajiaminisha tayari washamaliza kazi baada ya ubingwa!

klop nae sio type za mameneja wanaopiga sana kelele kwenye media kuhusu usajili,.....ngoja tusubiri
 
Mimi nimeamua kusubiri deal done tu.
Mzee alishasema hasajili kwa sababu wengine wanasajili, atasajili kwa sababu ya uwepo wa pesa na mahitaji ya timu.

Kauli hii tusubiri tu, naona anasubiri kuwaondoa kwanza waliopo kisha target zije.
Tujipe tumaini. Ila kutumia kigezo hatukusajili na mafanikio hayo (behind hili kuna mengi ya kuchambua hapa).
Ki ukweli mabingwa watetezi tuna presha kubwa kusubiri signing more than 4.
Mkuu upo sahihi kutokana na madhara ya corona mipango mingi imeharibika hivyo upo uwezekano lazima kuuza ili kununua kwa vile FSG sio Mansoor lol. Pengine ndio sasa kazi kuu inayoedelea kuwatoa wachezaji kwanza.

Tayari payroll imepumua kuwaondoa Lallana, Clyne na Lovren hivyo upo uwezekano wa kusajili sasa, sisi kwetu ni kuwa na subira tu..

Kwa kile kichapo cha AT Uefa sitegemei iwe biashara kama dirisha mbili zilizopita.

YNWA
 
I had expected this. Kuna shabiki wa arsenal nilikua nae tukidadavua mbili tatu nikamwambia pep atasajili kama ndio amekuja kwa mara ya kwanza. Na tayari amefanya hivyo.
Ujue
Pep hajawahi kuachwa point nyingi hivi ndio mara ya kwanza.
Pep hajawahi kufungwa mechi 7+ kwenye msimu mmoja.

Amejiona kudhalilishwa hivyo anataka kurekebisha hii record.
Pep mwenyewe anajipima uwezo wake kwa kupambana na kuipiku Liverpool pengine kitu kinachomsumbua sio tu kuchukua EPL msimu huu mbali kuchukua UCL, Super Cup na World Club Cup aisee hayo makombe kwa pamoja yememvuruga Pep kiasi kikosi chake anakiona bado sana kumpa mataji hayo ambayo kimsingi ndio ndoto ya Mansoor kumleta Pep Ethad.

Msimu ujao utakua moto sana.

Ajabu sasa ukipitia columns maarufu za majuu utaona eti Liverpool hawahitaji blockbuster signings dirisha hili bla bla wakati sie mashabiki tunaona fika kabisa kwamba tunapwaya mno. Hatuna mfumo mbadala zaidi ya 4 3 3 na hii inatupa shinda mno pale unapokutana na timu wakacheza 3 5 2 case study vs Manchester United, vs Atletico Madrid nk.. Kutokana na wachezaji waliopo Klopp ameshindwa kabisa kua na mfumo zaidi ya huo... Ukitazama Real Madrid msimu huu walitumia mifumo mingi tu kulingana wanakutana na nani.. Hivyo Klopp anahitaji usajili wa wachezaji mbadala tulionao..

Akipata wateja awatoe Origi, Gini, Ox, Shaqir, Wilson, Hendo, Matip nk ili pengine apate huo mkwaja wa kushusha nondo za uhakika...

YNWA
 
mimi nadhani tatizo linaweza kuwa lipo hata kwa fsg, hawa jamaa nao kutoa pesa kirahisi ni mziki, na saizi wanajiaminisha tayari washamaliza kazi baada ya ubingwa!

klop nae sio type za mameneja wanaopiga sana kelele kwenye media kuhusu usajili,.....ngoja tusubiri
Hawa FSG nadhani ni waumini wa sell to buy aisee...

Klopp awatoe wachezaji mapema kwani dirisha hili limekaa kimtego sana huku klabu nyingi wakiwa njia panda na usajili..

Uzuri wa dirisha hili bei za wachezaji zimeshuka mno kwa wale wenye mikataba mifupi, jana nimeona Zaha anauzwa £30m kutoka £70m...

Yajayo yanatisha..

Hua nabishana na Arsenal wenzangu juu ya Zaha.

Kuna msimu tulihusishwa naye sana. Nikasema Zaha ni mchezaji wa timu ambayo haitarajii makombe so Crystal Palace panamfaa kuliko akija Arsenal.

Naamini hata Liva hafai. Mtamnung'unikia tu. Halafu mbona mnamdharau Henderson wazee? Arsenal hatuna kiungo fighter wa level hiyo.
 
Pep mwenyewe anajipima uwezo wake kwa kupambana na kuipiku Liverpool pengine kitu kinachomsumbua sio tu kuchukua EPL msimu huu mbali kuchukua UCL, Super Cup na World Club Cup aisee hayo makombe kwa pamoja yememvuruga Pep kiasi kikosi chake anakiona bado sana kumpa mataji hayo ambayo kimsingi ndio ndoto ya Mansoor kumleta Pep Ethad.

Msimu ujao utakua moto sana.

Ajabu sasa ukipitia columns maarufu za majuu utaona eti Liverpool hawahitaji blockbuster signings dirisha hili bla bla wakati sie mashabiki tunaona fika kabisa kwamba tunapwaya mno. Hatuna mfumo mbadala zaidi ya 4 3 3 na hii inatupa shinda mno pale unapokutana na timu wakacheza 3 5 2 case study vs Manchester United, vs Atletico Madrid nk.. Kutokana na wachezaji waliopo Klopp ameshindwa kabisa kua na mfumo zaidi ya huo... Ukitazama Real Madrid msimu huu walitumia mifumo mingi tu kulingana wanakutana na nani.. Hivyo Klopp anahitaji usajili wa wachezaji mbadala tulionao..

Akipata wateja awatoe Origi, Gini, Ox, Shaqir, Wilson, Hendo, Matip nk ili pengine apate huo mkwaja wa kushusha nondo za uhakika...

YNWA
hendo
naona unawachokoza liverpool halisi mkuu
 
Hua nabishana na Arsenal wenzangu juu ya Zaha.

Kuna msimu tulihusishwa naye sana. Nikasema Zaha ni mchezaji wa timu ambayo haitarajii makombe so Crystal Palace panamfaa kuliko akija Arsenal.

Naamini hata Liva hafai. Mtamnung'unikia tu. Halafu mbona mnamdharau Henderson wazee? Arsenal hatuna kiungo fighter wa level hiyo.
zaha ni type za wachezaji wa everton kushuka chini
 
Hua nabishana na Arsenal wenzangu juu ya Zaha.

Kuna msimu tulihusishwa naye sana. Nikasema Zaha ni mchezaji wa timu ambayo haitarajii makombe so Crystal Palace panamfaa kuliko akija Arsenal.

Naamini hata Liva hafai. Mtamnung'unikia tu. Halafu mbona mnamdharau Henderson wazee? Arsenal hatuna kiungo fighter wa level hiyo.
Hahaha Zaha arudi tu Manchester United nimemtaja kuonyesha soko lilivyovurugwa na Covid... Hata Grealish naona bei yake itaporomoka mazima.. Kwa sasa timu nyingi wanasugua akili namna ya kulipa mishahara.. Nimeona hata Arsenal cheif scout panga linamhusu..

Kuhusu Hendo mkuu simdharau hata kidogo mbali kimtazamo naona wapo sawa na Gini aisee hivyo mmoja au wote waodoke tupate viungo watakaoweza kutuletea magoli zaidi ya 10 kwa msimu na ma assist ya kutosha kama vile De bruyne nk... Tazama siku wakibanwa Trent na Robbo tunaishiwa pumzi ya kushambulia..

Kama Keita ataedelea alivyomaliza msimu basi abakie ila kama atarudi kulekule kabla ya covid basi mwakani Klopp amuonyeshe mlango..

Fergie, Madrid, Barca, Bayern wanafanikiwa kwa vile wako ruthless kama wakikosa wanachokitaka kwa mchezaji inakua safari na pia kuboresha kikosi kila dirisha ili kuedana na kasia ya washindani na ku maintain status..

YNWA
 
hendo
naona unawachokoza liverpool halisi mkuu
😆😆😆😆😆😆😆😆😆Mkuu huyu Hendo miaka 30 usitarajie atakua kama Figo 😜😜huyu ni yule yule...

Angalau msimu huu kajitahidi kupata assist 4 na goli 5 EPL...

De Bruyne ana assit 20 na goli 13 kwa msimu huu EPL..

Hivyo tuseme tu kwa kifupi.. Numbers talk..

Ila De Bruyne ni AMF wakati Henderson ni CMF mwenye akili ya kudefend zaidi. Ndiyo maana akicheza ulinzi unakua wa uhakika.
 
Ila De Bruyne ni AMF wakati Henderson ni CMF mwenye akili ya kudefend zaidi. Ndiyo maana akicheza ulinzi unakua wa uhakika.
Kwetu Mkuu hio ni kazi ya Fabinho and one of the best in the world ..

Majukumu ya Midfielders 👇👇👇👇

1) Defensive/Holding Midfielder – Will sit in front of and protect the defence. A defensive or holding midfielder will usually hold their position between their own penalty area and centre circle, looking to break down opposition attacks early and bring more advanced players into play. Best kwangu ni Sergio Busquet, Fabinho nk

2)Box-to-Box Midfielder – The box-to-box midfielder is the workhorse of the team, getting back to assist the defence before running the length of the pitch to be involved in attacking phases of play.. Best Bruno, Kai, Gerrad, Viera nk

3)Central Midfielder – The central midfielder will look to run the game from the centre of the pitch, passing the ball about to retain possession and tracking the attacking movement of the opposition players. May be required to drop back into a defensive role or move forward into an advanced position depending on what the situation calls for. Best kwangu ni KDB, Kante, David Silva nk

4) Attacking Midfielder – An attacking midfielder will be an attack-minded player who links the midfield to the forwards. They may be required to track back and assist the defence, but their main role is to create chances, using their skill and creativity to either bring others into play or have a shot at goal themselves. This role will sometimes be known as an Advanced Playmaker or the Number Ten. Best kwangu ni Inesta, Modric nk

5) Wide Midfielder/Winger – These two roles differ slightly but are both played in a wide midfield position. The wide midfielder will usually play close to the touchline in between the defence and attack, playing a part in both defensive and attacking phases of play. The winger will usually sit in a more advanced position, in between midfield and attack, with their main aim being to put pressure on the opposition defence by whipping crosses into the box or cutting inside. Best kwangu ni Messi, Ronaldo, Mane, Salah, Robben nk

Attributes Required to be a Great Midfielder
1)Individual attributes will differ depending on which role a midfielder is playing, but all great midfielders require the following attributes to be successful.

2)Work Rate/Leadership – These two attributes go hand in hand because a great midfielder must work tirelessly and lead their team from the middle of the park. They will never give up, chasing down every ball and throwing themselves into every tackle. They will approach every game with a blood and guts, never-say-die attitude and an unmatched will to win which can drive their teammates on to a winning performance.

3)Fitness/Stamina – A midfielder will generally be involved in most passages of play during a match, tracking back to assist the defence and getting forward to play a part in attack. They also must try and win the midfield battle to keep control in the middle of the pitch. Therefore, they must be fitter than everyone else and have an abundance of stamina to give 100% for 90 minutes or more.

4)Composure – A midfielder must stay composed at all times, as they will see a lot of the ball and be involved in a lot of the action in a match. They must keep a cool head to prevent mistakes which can pile the pressure on the defence, choose the right pass at the right time to retain possession, and avoid rash challenges.

5)Vision/Anticipation – the midfielder must be able to read a match, anticipate what will happen next, and have great vision to turn defence into attack. They must be quick thinking and ready for anything, for the duration of the match.

6)All-Round Technical Ability – Not only will a midfielder need to be fit, composed, have great vision, and be a never-say-die leader, but they must also possess excellent all-round technical ability. The main abilities must be tackling and passing, although a great midfielder will be fantastic in all areas to keep the engine running smoothly.

Tazama stat za Hendo sasa ndio utaona hana kipya zaidi ya alichofanya tangu amejiunga nasi..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom