Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kuna muda nawaza sana kuhusu usajili, ila najipa moyo kwamba hata msimu ulioisha hatukusajili na mambo yamejipa.
Binafsi nikifanya rejea kwenye UEFA, kuna muda naona kabisa tumechukua PL si kwa ubora sana, bali ni kwa ubovu wa wapinzani.
Tusipoimarisha tutateseka sana msimu ujao.
Binafsi nikifanya rejea kwenye UEFA, kuna muda naona kabisa tumechukua PL si kwa ubora sana, bali ni kwa ubovu wa wapinzani.
Tusipoimarisha tutateseka sana msimu ujao.

Mpeni raha huyo bibi mawe.. Acheni uchoyo