Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah, usinikumbushe huo mpunga wa Ozil unaniumiza sana

Na hahami kwenda Westham au Hather Barlin akaishia kulipwa £70K kwa wiki, atang'ang'ania hapohapo Arsenal kula Minoti ya kufa Mtu mpaka mkataba wake umalizike 😂😂
 
Kwahiyo Klopp ni adui???

Hata kama ni kujipendekeza ila kwako ni kama imekuwa too much!

Haiwezekani watu wanajadili ubovu wa timu yao au wachezaji wao halafu mtu baki anakuwa anaingilia kila mara.

Ndiyo maana tunasema, jitangaze tu kwamba wewe ni mwana familia ili tukutambue mkuu.
 
Labda iwe Mars,
Lakini si kwa dunia hii, endelea kuota mkuu, ina maana ninavyokuwa kule ktk jukwaa la Chelsea nakuwa chelsea, nikienda manchester nakuwa manchester

Kama ndio hivyo basi shabiki wa Liverpool ni mkuu Captain Marvelous tu, maana yeye huwezi mkuta majukwaa mengine kizembe
 
Ni mchezaji gani wa Chelsea au wa Man United huwa unamtetea kule kwenye majukwaa husika?
 
Aiseeeehhhh, watu mna vichwa vigumu sana ktk kuchanganua mambo
 
Ni mchezaji gani wa Chelsea au wa Man United huwa unamtetea kule kwenye majukwaa husika?
@Don Clericuzio my bro nakuheshimu sana, hivi unavyofikiri wale wachambuzi kule maredioni na katika runinga hawana timu wanazoshabikia?
Mimi mwenzako hata game ya burnley na watford huwa naangalia hivyo suala la kuzungumzia wachezaji kwangu ni kawaida tu.
Sidhani kama ninafanya kosa, kama kuna kosa kimbilia polisi kama alivyofanya papaa Gigyfedha na wenzake
 
Hakuna mahali nilikosema unafanya kosa, isipokuwa nilichoandika ni kwamba unaboa.

Unaweza kunitajia mchezaji yeyote wa Man United au Chelsea ambaye huwa anapondwa na washabiki wa timu yake na wewe ukawa unamtetea?

Au kule kwenye jukwaa lenu, ni nani huwa anakuja kuwatetea wachezaji mnaowaponda?
 
Nobody says shit when FIFA awards Messi with the Baloon D' Amor despite the fact that he doesn't win nothing for his team nor his country!
unafananisha mchango wa Messi na Hendo????.......... mkuu tunaongelea mchango wa mtu na sio makombe!
 
Hakuna mahali nilikosema unafanya kosa, isipokuwa nilichoandika ni kwamba unaboa.

Unaweza kunitajia mchezaji yeyote wa Man United au Chelsea ambaye huwa anapondwa na washabiki wa timu yake na wewe ukawa unamtetea?

Au kule kwenye jukwaa lenu, ni nani huwa anakuja kuwatetea wachezaji mnaowaponda?
Ibaki kusema

'USINIPANGIE CHA KUFANYA '

sorry kwa hiyo kauli maana sipo hapa kukufurahisha wewe,
unavyofikiri wewe unaweza kufurahisha kila mtu? kaa fikiria kuhusu hilo, kama Yesu tu aliwafurahisha watu na wengine aliwaboa itakuwa wewe au mimi?
Jifunze kuwa mvumilivu maana wewe na mimi ni binadamu.

Wewe kuwa huru ukitaka kuja kuponda kule njoo,
JF ni jukwaa huru waweza changia chochote, kokote na katika muda wowote, cha kuzingatia ni kutovunja sheria zilizowekwa
 
Ibaki kusema

'USINIPANGIE CHA KUFANYA '

sorry kwa hiyo kauli maana sipo hapa kukufurahisha wewe,
unavyofikiri wewe unaweza kufurahisha kila mtu? kaa fikiria kuhusu hilo, kama Yesu tu aliwafurahisha watu na wengine aliwaboa itakuwa wewe au mimi?
Jifunze kuwa mvumilivu maana wewe na mimi ni binadamu.

Exactly, pia naruhusiwa kuzungumza kitu ambacho naona hakinifurahishi. Na ibaki kuwa mtazamo wangu.

Anytime ninapomzungumzia Henderson jua kwamba hanifurahishi.

Kwa kujua kabisa kwamba hakuna binadamu anayeweza kufurahisha kila mtu, heshimu hilo na baki na mtazamo wako pia.

#punguzakujipendekezakwamabingwa
 
Sipangiwi

Nafikiri hili sio jukwaa pekee naingia mzee so kote huko najipendekeza
Wewe umefirisika kihoja

Usinipangie cha kupost, device yangu na bando langu mzee, kaa utulie.

Wewe unaumizwaje na Jordan Brian Henderson aliye huko mbelembele anakula pesa kwa wiki na anaaminiwa na kocha na wanaLiverpool wanaotambulika,
Wewe upo kwa Lulenge unasema Hendo hafai na inakuuma kabisa,

#Hayo_ni_matumizi_mabaya_ya_akili.
 
Labda iwe Mars,
Lakini si kwa dunia hii, endelea kuota mkuu, ina maana ninavyokuwa kule ktk jukwaa la Chelsea nakuwa chelsea, nikienda manchester nakuwa manchester

Kama ndio hivyo basi shabiki wa Liverpool ni mkuu Captain Marvelous tu, maana yeye huwezi mkuta majukwaa mengine kizembe
Haha Mkuu DullyJr tunazipenda hizi timu utadhani tuna hisa vile yaaani....

Once a Red always a Red...

YNWA
 
1st goal. Van dijk
1595779134500.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom