Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Awesome. Thank you too
Much shout Numbisa for tirelessly uploading this clips for us...

Its been a challenging season with Covid and all..

We thank you for the great company you have accorded us in good and in the bad times...

As the season comes to end for those who have lost thier expectations kwenye msimamo wa ligi wajue ni mpira tu huu kuna msimu ujao pia, we live to fight another day... That the beauty of soccer..


YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Naombeni kujuzwa wachezaji wanaotakiwa na Liverpool na ambao. Wameachwa
Mkuu wachezaji wengi wanaotajwa na magazeti ya umbea majuu na hakika ni wengi mno maana kila kukicha.. Majina ambao wanatajwa mara kwa mara ni..
Adama Traore wa Wolves
Kalouibaly wa Napoli
Diago Jota wa Wolves
Neves wa Wolves
Maxmiliman wa Newcastle
Ake wa Bournemouth
Isamail Sarr wa Watford
Thiago wa Bayern Munich
Buendia wa Norwich
Barnes wa Leicester
Torres wa Valencia
Victor wa Lile
Diego wa Sevila
Countinho wa Barcelona
Mbappe wa PSG
Na wengine wengi tu

Wanaotarajia kuodoka ni
Pedro Chiravela
Harry Wilson
Yasser
Lallana
Shaqir
Lovren
Karius
Mane japo huyu mpaka waje Real ama PSG
Nk

Wanaotarajiwa kupandishwa rasmi kikosi cha kwanza ama kupata muda zaidi uwajani ni..
Curtis Jones
Neco Williams
Harvey Elliot
Rhian Brewster
Sepp van berg
Grujic

Mkuu kwa sasa ni kuvuta subira mpaka ligi inaanza tena baada ya siku 48 tutajua nani atabaki ama kusajiliwa.. Nawaamini Klopp na Edwards..

YNWA
 
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako

By Shabiki wa Manchester United
Imagine... man utd fans anakuja kushangilia. jukwaa la liva
 
Furaha waliyonayo ni kubwa kuliko hata sisi tuliobeba ubingwa
Kucheza "usiku wa mabingwa" raha sana ni haki yao kushangilia
Hahaha msimu ujao umekaa powa mno...

Top four msimu huu imekaa vizuri sana maana ni hao hao ndio watakaokimbizana kupata ubingwa EPL.. Hakuna ooh sisi tunacheza Alhamisi kusafiri nk wachezaji wanachoka sasa tutakua sawa...

Yajayo yanafurahisha 👻👻👻...

YNWA
 
Hahaha mie na wa hapa hapa nyumbani kumenoga sanaaaa tangu atue Klopp nina amani sanaa na timu yangu...

Mkuu hakikisheni huyu Auba anabakia EPL aisee tunahitaji Epl ijayo iwe amsha amsha zaidi ya hii...

Sina uhakika na bajeti atakayopewa Arteta ila tuwaone Mkuu mkiwa kamili kabisa..

Na kama huyo boss Stan anaazingua akae pembeni..

YNWA
Dah aiseeeeh yajayo yanaweza kufurahisha...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom