Capt. Hendo kachangia kwa kiasi kikubwa sana tena sana LFC kushinda UCL, FIFA Club championship na EPL. Sasa unahitaji mchango gani?unafananisha mchango wa Messi na Hendo????.......... mkuu tunaongelea mchango wa mtu na sio makombe!
Origi bhana he has that in his locker shinda ni pale we need him to score he rarely do score...2nd goal. OrigiView attachment 1517714
Much shout Numbisa for tirelessly uploading this clips for us...1st goal. Van dijkView attachment 1517698
Great bwana tumpate Sarr haha...At last Watford wanarudi kwenye ligi yao huko.
Great bwana tumpate Sarr haha...
Sytle ya Robbo kumnasa...
Nice Samatta atakua EPL tena msimu ujao..
YNWA
Kabisa Ndugu yangu hii imekaa powa sana aisee kule chini hapamfai bora huku tutakua tunamuona...Aisee, nimefurahi Samatta kubaki, Watford kushuka.
Nakuelewa sana mkuu, wewe jua liwake mvua inyeshe tutakukuta Anfield tuHaha Mkuu DullyJr tunazipenda hizi timu utadhani tuna hisa vile yaaani....
Once a Red always a Red...
YNWA




Yule Sarr ni wamoto sanaGreat bwana tumpate Sarr haha...
Sytle ya Robbo kumnasa...
Nice Samatta atakua EPL tena msimu ujao..
YNWA
Hahaha mie na wa hapa hapa nyumbani kumenoga sanaaaa tangu atue Klopp nina amani sanaa na timu yangu...Nakuelewa sana mkuu, wewe jua liwake mvua inyeshe tutakukuta Anfield tu![]()
Wajina acha kujificha uwanja wa wazi, wewe ni Liverpool halisiIbaki kusema
'USINIPANGIE CHA KUFANYA '
sorry kwa hiyo kauli maana sipo hapa kukufurahisha wewe,
unavyofikiri wewe unaweza kufurahisha kila mtu? kaa fikiria kuhusu hilo, kama Yesu tu aliwafurahisha watu na wengine aliwaboa itakuwa wewe au mimi?
Jifunze kuwa mvumilivu maana wewe na mimi ni binadamu.
Wewe kuwa huru ukitaka kuja kuponda kule njoo,
JF ni jukwaa huru waweza changia chochote, kokote na katika muda wowote, cha kuzingatia ni kutovunja sheria zilizowekwa
Huyu ndogo ni Msenegali anacheza wing zote pale mbele japo zaidi alitumika kama (ARM) Attacking Right Midfielder..Yule Sarr ni wamoto sana
Hahaha huyu jamaa Steve G aliwai sema ni the worst player he played with...View attachment 1517758
This was one of the lowest points at Anfield.
" He's the only no. 9 ever to go through a whole season without scoring, in fact he's probably the only no. 9 of any club to do that. "