Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Immigrants
Halafu tunapotaja wachezaji usiwe kama Mashabiki wa Chelsea kututajia takataka 😂😂
Nadhani ni muda Dullyjr tumpe jezi, maana kaamua kuhamia Liverpool kabisa.
Immigrants
Halafu tunapotaja wachezaji usiwe kama Mashabiki wa Chelsea kututajia takataka 😂😂
Huu sasa ni utani wa msimu
Anyway with Corona viruses, everything in this season has been a joke
Fahamu kuwa Wandishi waliomchagua ni Wandishi wa Kiengereza! Unadhani hii tunzo atashinda KDB (Belgian), Pogba (France), Bruno (Portuguese)?
Ni sawa na Wandishi wa Tanzania wampigia kura mchezaji bora wa Mwaka wa Aston Villa unadhani watampigia kura Grealish? Samatta anabeba tunzo mchana kweupeee.

Huu mfano wa Waandishi wa Habari kumpigia kura mchezaji wa Aston Villa sio sahihi
Tuchukulie Waandishi wa Habari wa Tanzania wampigie kura Boco (nimetaja Boco kwa kuwa ndio nahodha wa mabingwa msimu huu na ni mtanzania)
Hiyo haiwezi kuwa sawa hata kidogo
Huyo Henderson hawezi kuwa hata top 3 ya wachezaji bora pale Liverpool,
It is a joke, I repeat it is a joke
There is no way to justify that
It's a joke to you kwa wengine tunasema anastahili kwa performance yake this season
Kwa msimu uliopita VVD haina mjadala kuwa ndiye mchezaji bora kwa kikosi cha Liverpool.
Lakini msimu huu tuweni wakweli TAA anastahili kila sifa ya kuwa ndiye mchezaji wetu bora wa Msimu! Kwa Beki mwenye umri wa miaka 21 kufunga goli 4 na kutoa 14 assists ni miracle ! Ukichanganya Midfielders wetu wote kwa pamoja hawafikii hayo aliyoyafanya TAA ambaye ana just 21 years.
But sidhani kama anaweza ambulia chochote as long as Le Captaine yupo ndani ya Liverpool.
View attachment 1516501
Kama vile Messi anavyopendwa na FIFA hata kama hajafanya chochote kwenye msimu atapewa tu hiyo Baloon sijui baloon gani mnaitaNaona utaifa umetumika kama kigezo kupata tuzo hiyo
Nobody says shit when FIFA awards Messi with the Baloon D' Amor despite the fact that he doesn't win nothing for his team nor his country!Which performance? Do you have any stats to backup your claim?
Which performance? Do you have any stats to backup your claim?
Uanze na FIFA na Messi kwanza then ndio ujenge hoja ya Hendo na EPL hapa nyumbani kwa wanaume wa MELWOOD.Huu mfano wa Waandishi wa Habari kumpigia kura mchezaji wa Aston Villa sio sahihi
Tuchukulie Waandishi wa Habari wa Tanzania wampigie kura Boco (nimetaja Boco kwa kuwa ndio nahodha wa mabingwa msimu huu na ni mtanzania)
Hiyo haiwezi kuwa sawa hata kidogo
Huyo Henderson hawezi kuwa hata top 3 ya wachezaji bora pale Liverpool,
It is a joke, I repeat it is a joke
There is no way to justify that
Uanze na FIFA na Messi kwanza then ndio ujenge hoja ya Hendo na EPL hapa nyumbani kwa wanaume wa MELWOOD.
YNWA
So was Messi last year!!It doesn't justify this mediocrity.
The guy is not the best player in his squad, not even in top 5.
So was Messi last year!!
YNWA