Kwani majadiliano yako wewe hapa yana impact gani kule Anfield??? Acha kuchekesha bro, [emoji23][emoji23][emoji23] ndio hivyohivyo kule Gunners, toka watu waanze kulalamikia wamiliki wamekiwa wabahili wanatakiwa waweke fungu la maana ili kucompete na timu nyingine kubwa kufanya usajili kuna impact gani?
Hapa ni kupiga soga tu, tangu mlivyoanza kumponda Hendorson na kumuita takataka mara kibao lipi lililotokeaa tofauti kwa Klopp?
Sanasana mnajipanikisha na kujijaza chuki zisizo na sababu na kila siku jamaa yupo katika 1st 11 na makombe kabeba yeye akiwa kiongozi[emoji123]
Na mapovu mnaendelea kutoa kama yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa na Tunzo kabeba[emoji91][emoji91]
Maisha ni mafupi sana haya, hivyo ni vyema kuepuka kujijaza chuki zisizo na sababu ili kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
Timu yangu haiwezi kushuka daraja kwa sasa na hata ikishuka nitashuka nayo na kupanda nayo tena, sababu haitokuwa timu ya kwanza kushuka,
COYG[emoji123][emoji123][emoji123]