Hujawah kujiuliza kuwa wenda we ndo unakosea, wenda we ndo huoni uwezo wake, wenda we ndo una upeo mdogo wa mpiraSubiri kwenye tunzo za FIFA na UEFA wanaojua mpira tuone uwezo wake coz last season waliingia kina TAA, Mane, Salah, VVD lakini yeye hakuonekana [emoji23][emoji23]
Ko we uliona nani anafaa[emoji23][emoji23][emoji23]Fahamu kuwa Wandishi waliomchagua ni Wandishi wa Kiengereza! Unadhani hii tunzo atashinda KDB (Belgian), Pogba (France), Bruno (Portuguese)?
Ni sawa na Wandishi wa Tanzania wampigia kura mchezaji bora wa Mwaka wa Aston Villa unadhani watampigia kura Grealish? Samatta anabeba tunzo mchana kweupeee.
Tatizo lako hujui mpira kaka, unafatisha sana numbers, anord kazi yake ni kukaba, kufunga na assist hizo ni nyongeza tu kwenye kiwango chake, kwenye jukumu lake kama beki kafanya nn???Kwa msimu uliopita VVD haina mjadala kuwa ndiye mchezaji bora kwa kikosi cha Liverpool.
Lakini msimu huu tuweni wakweli TAA anastahili kila sifa ya kuwa ndiye mchezaji wetu bora wa Msimu! Kwa Beki mwenye umri wa miaka 21 kufunga goli 4 na kutoa 14 assists ni miracle ! Ukichanganya Midfielders wetu wote kwa pamoja hawafikii hayo aliyoyafanya TAA ambaye ana just 21 years.
But sidhani kama anaweza ambulia chochote as long as Le Captaine yupo ndani ya Liverpool.
View attachment 1516501
Wenda ndo huenda tajiri msomi?Hujawah kujiuliza kuwa wenda we ndo unakosea, wenda we ndo huoni uwezo wake, wenda we ndo una upeo mdogo wa mpira
Na kazi ya Henderson ni ipi?Tatizo lako hujui mpira kaka, unafatisha sana numbers, anord kazi yake ni kukaba, kufunga na assist hizo ni nyongeza tu kwenye kiwango chake, kwenye jukumu lake kama beki kafanya nn???
Hili neno[emoji3]Tatizo lako hujui mpira kaka, unafatisha sana numbers, anord kazi yake ni kukaba, kufunga na assist hizo ni nyongeza tu kwenye kiwango chake, kwenye jukumu lake kama beki kafanya nn???
Unakuta watu wanabishana kabisa kuwa beki huyu anamshinda mbali sana yule coz anafunga sana magoli, magoli sio kazi ya beki, ila akiwa beki mzuri na anafunga sana au assist nzuri ubora wake unaongezeka mara dufuHili neno[emoji3]
Maana katika game dhidi ya chelsea watu walikuwa wanachochora tu upande wake lakini aliassist na akafunga,
Jamaa katika kulinda hayupo gud sana
Tatizo lako hujui mpira kaka, unafatisha sana numbers, anord kazi yake ni kukaba, kufunga na assist hizo ni nyongeza tu kwenye kiwango chake, kwenye jukumu lake kama beki kafanya nn???
Hili neno[emoji3]
Maana katika game dhidi ya chelsea watu walikuwa wanachochora tu upande wake lakini aliassist na akafunga,
Jamaa katika kulinda hayupo gud sana
Kuwa beki mzuri haimaanishi hufanyi makosa, bali inamaanisha we ni beki kwelikweli, kama haupo kwenye eneo la tukio huna la kulaumiwa,Liverpool imefungwa magoli mangapi unayoweza kusema ni makosa ya TAA?
Nikwambie kitu kimoja, wewe jamaa uko so inferior kwa mshikaji, jitahidi, maisha hayako hivyo.
Njoo na uchambuzi wako, na siyo ku attack mtu aliyetoa points.
Long stori shortLiverpool imefungwa magoli mangapi unayoweza kusema ni makosa ya TAA?
Nikwambie kitu kimoja, wewe jamaa uko so inferior kwa mshikaji, jitahidi, maisha hayako hivyo.
Njoo na uchambuzi wako, na siyo ku attack mtu aliyetoa points.
Kuwa beki mzuri haimaanishi hufanyi makosa, bali inamaanisha we ni beki kwelikweli, kama haupo kwenye eneo la tukio huna la kulaumiwa,
Long stori short
Waandishi wameona Henderson anafaa nyie watu wa vijiweni mnakuja kubisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimaantiki mnachong'ang'ania ni kuwa nyie ndo mnajua kuriko wao, binafsi najua Henderson sio mchezaji mzuri sana ila apoapo sio mchezaji mbaya kama nyie washabiki uchwara mnavyong'ang'ania,
Toka mwaka juzi mnahangaika tu kubweka
Kwani majadiliano yako wewe hapa yana impact gani kule Anfield??? Acha kuchekesha bro, [emoji23][emoji23][emoji23] ndio hivyohivyo kule Gunners, toka watu waanze kulalamikia wamiliki wamekiwa wabahili wanatakiwa waweke fungu la maana ili kucompete na timu nyingine kubwa kufanya usajili kuna impact gani?We jamaa timu yako inashuka daraja, badala ya kukaa utulie mjadili jinsi ya kufanya usajili umemwachia kazi Aaron Arsenal peke yake. Wewe unashinda huku.
Nahisi kama unaona aibu kujitangaza kwamba umeshahamia tayari, sisi tunakuelewa. Karibu.
DahTatizo lako ni muhemko, unatumia hisia zaidi ya akili.
Siwezi kukulaumu, watu wa aina yenu wenye hormones nyingi za upande wa pili ndivyo mlivyo.
Kwani majadiliano yako wewe hapa yana impact gani kule Anfield??? Acha kuchekesha bro, [emoji23][emoji23][emoji23] ndio hivyohivyo kule Gunners, toka watu waanze kulalamikia wamiliki wamekiwa wabahili wanatakiwa waweke fungu la maana ili kucompete na timu nyingine kubwa kufanya usajili kuna impact gani?
Hapa ni kupiga soga tu, tangu mlivyoanza kumponda Hendorson na kumuita takataka mara kibao lipi lililotokeaa tofauti kwa Klopp?
Sanasana mnajipanikisha na kujijaza chuki zisizo na sababu na kila siku jamaa yupo katika 1st 11 na makombe kabeba yeye akiwa kiongozi[emoji123]
Na mapovu mnaendelea kutoa kama yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa na Tunzo kabeba[emoji91][emoji91]
Maisha ni mafupi sana haya, hivyo ni vyema kuepuka kujijaza chuki zisizo na sababu ili kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
Timu yangu haiwezi kushuka daraja kwa sasa na hata ikishuka nitashuka nayo na kupanda nayo tena, sababu haitokuwa timu ya kwanza kushuka,
COYG[emoji123][emoji123][emoji123]