BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,935
- 11,778
Tutakubofya weweHii ndo liverpool nayoijua mimi
Tutakubofya weweHii ndo liverpool nayoijua mimi
Why we struggle mara nyingi Hendo asipokuwepo?
Mkuu hata Mimi ninajiuliza sana hili swali kwanini asipocheza Hendo tunastruggle sana?
Mfano mdogo Klopp alimuweka Benchi Hendo dhidi ya Man City tukaishia Kukung'utwa goli 4 kwa Mtungi ilihitajika Klopp atupe maelezo ya kutosha Washabiki.
Au kwenye ile game tuliyodundwa Misumari Mitatu na Watford Klopp alifanya uzembe sana kutomchezesha Hendo.
Ikisha akarudia makosa ya kutomchezesha Hendo kwenye game yetu vs Atletico pale Anfield tukaishia kufungwa.
Haki ya nani tunapata shida sana asipocheza Hendo, Zaidi ya Misimu miwili sasa hatujawahi Kupoteza game ambayo Hendo amecheza.
Hendo is Invincible

uweoz mkuu, tuache excuse ingekua kwa sababu tumebeba kombe tungekuwa tunawaona kina jones, elliot n.k wakianza,......1) Ivi wapo Washabiki wa Liverpool wanaoamini kuwa tunafungwa na kutoa sare kwasababu tumeshabeba Kombe?
2) Je wapo wanaoamini kuwa tunafungwa na kutoa sare kwasababu ndiyo uwezo wa Timu yetu ulipoishia baada ya baadhi ya Wachezaji kuporomoka Viwango?
Namba 2 kwangu inamake sense, What's yours?
Mi pia napenda yale manyumbu yapotee kabisa kwenye ramani ya top 4 ikibidi yashuke daraja, siyapendi kabisa
Man utd ufalme tunao kitambo Sana ..we kiazi rekebisha kauliHayo maandishi Mimi hayajanifanya niwe concerned nayo ndiyomana sijaona kuwa yana umuhimu wowote kwasababu hapo Mashabiki wa Arsenal wamejaribu kutengeneza upinzani that doesn't exist.
Sisi wapinzani wetu ni Everton kugombania Ufalme wa Jiji la Liverpool, Na Manure kugombania Ufalme wa Kaskazini (Northwest Derby).
Sasa nyinyi Arsenal sisi hatuna upinzani na nyinyi wowote bali wapinzani wa Arsenal ni Westham, Spurs na Chelsea kugombaniana Ufalme wa London ama Fan base ya London.
So, Mockery ya Golden Cup it doesn't matter kwa upande wangu! They should show/tell this to Chelsea Fanboys.

TulishajiandaaJiandaen kiakil
Mkuu hata Mimi ninajiuliza sana hili swali kwanini asipocheza Hendo tunastruggle sana?
Mfano mdogo Klopp alimuweka Benchi Hendo dhidi ya Man City tukaishia Kukung'utwa goli 4 kwa Mtungi ilihitajika Klopp atupe maelezo ya kutosha Washabiki.
Au kwenye ile game tuliyodundwa Misumari Mitatu na Watford Klopp alifanya uzembe sana kutomchezesha Hendo.
Ikisha akarudia makosa ya kutomchezesha Hendo kwenye game yetu vs Atletico pale Anfield tukaishia kufungwa.
Haki ya nani tunapata shida sana asipocheza Hendo, Zaidi ya Misimu miwili sasa hatujawahi Kupoteza game ambayo Hendo amecheza.
Hendo is Invincible

Hapo hawezi kuyaona huyo

mpe miwaniPovu kali sana hili mkuu,Hayo maandishi Mimi hayajanifanya niwe concerned nayo ndiyomana sijaona kuwa yana umuhimu wowote kwasababu hapo Mashabiki wa Arsenal wamejaribu kutengeneza upinzani that doesn't exist.
Sisi wapinzani wetu ni Everton kugombania Ufalme wa Jiji la Liverpool, Na Manure kugombania Ufalme wa Kaskazini (Northwest Derby).
Sasa nyinyi Arsenal sisi hatuna upinzani na nyinyi wowote bali wapinzani wa Arsenal ni Westham, Spurs na Chelsea kugombaniana Ufalme wa London ama Fan base ya London.
So, Mockery ya Golden Cup it doesn't matter kwa upande wangu! They should show/tell this to Chelsea Fanboys.

Tatizo klopp ni mliberali sana, hampend kabisa Keita .Sioni Keita akisifiwa au nimeangalia kwa mahaba kapiga mwingi sana jana.au tunasubili akosee tuseme hafai?
Chambalini m bovu analazimishwa tu kupangwa kiwango kibovuu anabadilishwa tu namba lakini wapi nae sioni akiguswa
Mkuu DullyJr big up....
YNWA
thanks bro..tupo pamojathanks bro..tupo pamoja