Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liver ni timu dhaifu sana kama wanafungwa na hii Arsenane mbovu kabisa kilichowasaidia nyie looserfool ni kutake advantage mapema next season mtapata tabu sana
 
Huu ni muda mwafaka kwa Klop kuondoka Liver. Msimu ujao hata ubingwa hataweza kuutetea na ni wazi timu inahitaji kusukwa upya kwenye baadhi ya nafasi, ikizangatiwa baadhi ya wachezaji wamefikia peak.
 
Liver ni timu dhaifu sana kama wanafungwa na hii Arsenane mbovu kabisa kilichowasaidia nyie looserfool ni kutake advantage mapema next season mtapata tabu sana
Kwahiyo unadhani liver watarudi hivihivi? Msimu uliopita mlitabiri hayahaya
 
Huyu lazima acheze Mkuu nakumbuka alipopona kutoka injury tulimtangaza kuwa ni New signing
Una madongo ya kichinichini sana,yule mwanetu wenyewe asingeweza kufanya lolote la tofauti katika ground ile.
 
Tuacheni ujuaji jamani hii Timu Coutinho na Alcantara waletwe waokoe Jahazi.
Kununua U23 au kuwapandisha kutoka Academy hawawezi kusaidia chochote kwani huu ni muda wa kupambana sio muda wa kufanya majaribio.

Natamani sana Coutinho arudi aisee, jamaa hata tukijikausha vipi, pengo lake tunalo sana.

Timu nayoiona kwa sasa kama tutaenda na kiungo hiki msimu ujao, tutawakataa VVD na Alisson.
 
Why we struggle mara nyingi Hendo asipokuwepo?
Na niliwaambia humu kwakuwa Hendo hayupo tutawachakaza,
Hii couple ndio siri ya ya mafanikio Liverpool
images%20(7).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom