GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,085
- 16,427
Pambaneni muipandishe timu hata top6.thanks bro..tupo pamoja
Pambaneni muipandishe timu hata top6.thanks bro..tupo pamoja
Pambaneni muipandishe timu hata top6.
Yani Arsenal ingelikuwa angalau ina uhakika wa Top Four tu basi kuna Watu wangehama JF








Ya msimamo, kila nikitazama naona wako no9.Top six ya kupiga makelele au ya msimamo wa ligi?
Mumeumia sanaTop six ya kupiga makelele au ya msimamo wa ligi?


....poza hasira na hayo maneno hapo juu?

Maumivu yakizidi kunywa maji mengi,pumzika sehemu yenye hewa safi....sio wewe tu ni wengi wanaoumia na hili,Ya msimamo, kila nikitazama naona wako no9.
UwezoIkawaje mkapigwa na wale wavulana?

Mumeumia sana....poza hasira na hayo maneno hapo juu?
Ila mkuu,wewe ndio Deo Mwanasoka mwandishi wa makala pale EFM ?maana kuna dots naziconnect hapa naona kama ni wewe...juzi tu nilikuona ukizungumzia Timu ya Taifa ya Ugiriki leo naona umeishushia makalaView attachment 1509256
Ya msimamo, kila nikitazama naona wako no9.
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, utakuta muda mwingine vipindi vinapoteza mvuto maana jambo ushalijadili hapa baada ya siku mbili wao ndio wanalianzishia mjadala katika kipindi kwa context ileile kwa sisi wazurulaji wa nyuzi tofauti hatuoni jipya,Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, hao watangazaji tuko nao humu, kwa hiyo wanachukua taarifa kibao kutoka humu na kwenda kuziongelea kwenye redio na vyombo vyao vya habari.
Huyo mtu sijawahi kumsikia, ndo nalisikia jina hili kutoka kwako.
EFM nina zaidi ya mwaka kipindi chao cha michezo sikisikilizi.




Hata wewe ulikuwa unaitaka hiyo rekodi umeishindwa mkuu, why nisitambeHiyo ndiyo level yao, siku hizi wame invest kwenye mdomo kuliko uwanjani.
Wamebaki na historia ya kuchukua ubingwa bila kupingwa, wanatembea na hiyo record kila wanapoenda.

Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, utakuta muda mwingine vipindi vinapoteza mvuto maana jambo ushalijadili hapa baada ya siku mbili wao ndio wanalianzishia mjadala katika kipindi kwa context ileile kwa sisi wazurulaji wa nyuzi tofauti hatuoni jipya,
Halafu hata shukrani hawatoi![]()
Mechi nyingi uliozitaja hajakuwemo ndan, we ni kama hujui mpira we jamaaMushaanza tena!!!
Musione tumenyamaza ni kwamba hatujachokozwa tu!!
Tumepigwa na!
1) ATM away Hendo ndani
2) ATM Home Hendo ndani
3) Watford Hendo ndani
4) Man City Hendo ndani
Droo na Manure Hendo ndani
Droo na Everton Hendo ndani
Ddroo na Burnley Hendo hakucheza ×
Still win ratio with him 90% while without him 60%?
Nadhani without him wanahesabu na zile game za FA na Carabao tulizokung'utwa na Aston Villa 5 kwa Mtungi
Haki ya Nani kuna Watu Stats zao wanatoa Kuzimu wakizani sisi ni Misukule hatujui kinachoendelea![]()
Liver yule Minomino mmepigwa, hamna mchezaji mule
Minomino ni Yipe aliechangamka





Kama hujui kwamba wewe hujui tangia leo fahamu kwamba wewe hujui mpira mimi ndio nakutonya sasa.Mechi nyingi uliozitaja hajakuwemo ndan, we ni kama hujui mpira we jamaa
Mechi nyingi uliozitaja hajakuwemo ndan, we ni kama hujui mpira we jamaa
Kama hujui kwamba wewe hujui tangia leo fahamu kwamba wewe hujui mpira mimi ndio nakutonya sasa.
Nitajie mechi mojawapo hapo ambayo hakuwepo