Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20200709-074217_Chrome.jpg
 
Nilikuwa napitia msimamo wa Top Scorer nimeona:-

1) Vardy - 22
2) Auba - 20
3) Salah - 19
4) Ings - 18

Auba na Vardy wapo vizuri sana kwa kufumania Nyavu sijui kama Salah anaweza toboa kwenye Golden boot msimu huu kwa mechi 4 zilizobakia.

Enewey, huyu ndiye yule Salah anayeibuka our Top Scorer for three consecutive seasons tuliyeambiwa auzwe na namba apewe Origi.
 
Sometimes Critics wanachangia kubadili ubora wa Kitu/Mtu ingawa anachukia kukosolewa.

Asingekuwa anashambuliwa kwenye mitandao mpaka akaikimbia Twitter basi angaliendelea kuvimba kichwa tu cha ucaptain.
But zile jitihada zake za kutaka kutuprove wrong ndiyo zimemsaidia angalau kujikongoja kidogo.
 
Narudia tena kusema injury ni mbaya kuliko Shetani!
Siwezi kuamini kama Harry Kane amepotea kiasi hichi!!!!
Huyu jamaa alikuwa na uhakika wa kukupa 40+ goals per season in all competitions, but sasa akikupa 20+ ujue kajitahidi.
 
Nilikuwa napitia msimamo wa Top Scorer nimeona:-

1) Vardy - 22
2) Auba - 20
3) Salah - 19
4) Ings - 18

Auba na Vardy wapo vizuri sana kwa kufumania Nyavu sijui kama Salah anaweza toboa kwenye Golden boot msimu huu kwa mechi 4 zilizobakia.

Enewey, huyu ndiye yule Salah anayeibuka our Top Scorer for three consecutive seasons tuliyeambiwa auzwe na namba apewe Origi.
Salah anazo 20 kwa sasa kaka
 
Na kwa Brewster baada ya kupata ile injury yake ya Msimu mzima tu, basi moja kwa moja nikajua tayari tumeshampoteza unless ajitume zaidi na zaidi ikiwemo kuondoa hofu ya kuna kuumia tena ili arudi kwenye ubora wake.
 
Sometimes Critics wanachangia kubadili ubora wa Kitu/Mtu ingawa anachukia kukosolewa.

Asingekuwa anashambuliwa kwenye mitandao mpaka akaikimbia Twitter basi angaliendelea kuvimba kichwa tu cha ucaptain.
But zile jitihada zake za kutaka kutuprove wrong ndiyo zimemsaidia angalau kujikongoja kidogo.

Exactly, kiukweli kajitahidi sana msimu huu.

I hope tuta upgrade eneo letu la kiungo msimu ujao.
 
As long as we've nothing to lose hii rotation ya leo ni nzuri kwa Afya za wachezaji wetu.
Sijui Klopp anataka kumdesign Neco Williams kuwa LB na Backup ya Robertson? Just I'm asking myself.
Kwa kinda kama yule kumpa majukum yasio yake ni kumharibu kiakili.

Bahati nzuri dogo anajiamini na kajitahidi
 
Sioni Keita akisifiwa au nimeangalia kwa mahaba kapiga mwingi sana jana.au tunasubili akosee tuseme hafai?

Chambalini m bovu analazimishwa tu kupangwa kiwango kibovuu anabadilishwa tu namba lakini wapi nae sioni akiguswa
 
Ndugu pengine hujapita hapa kwa masaa mengi na hujapitia comments za nyuma!
Rejea comment #89,659 ya Don Clericuzio utakuta ujumbe.
 
Sioni Keita akisifiwa au nimeangalia kwa mahaba kapiga mwingi sana jana.au tunasubili akosee tuseme hafai?

Chambalini m bovu analazimishwa tu kupangwa kiwango kibovuu anabadilishwa tu namba lakini wapi nae sioni akiguswa
Nyie hamna wachezaji basi tu dodo limedondoka kwenye mwarobaini
 
Sioni Keita akisifiwa au nimeangalia kwa mahaba kapiga mwingi sana jana.au tunasubili akosee tuseme hafai?

Chambalini m bovu analazimishwa tu kupangwa kiwango kibovuu anabadilishwa tu namba lakini wapi nae sioni akiguswa

Mkuu kwani kuna mtu humu ambaye yuko authorized kusifu wachezaji? Kwamba ni yeye tu anayetakiwa kufanya hivyo!

Kama umeona amecheza vizuri, wewe pia unaweza kumsifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom