BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,913
- 11,729
Sawa mteteaNyie livakuku msiniangushe leo
Sawa mteteaNyie livakuku msiniangushe leo
Upo???
Nimetulia na bix langu la bisi na kisu changu nataka nichinje jogoo
Tukutane baada ya dk90
Naona mitutu haitemi ndugu...
Nimetulia na bix langu la bisi na kisu changu nataka nichinje jogoo
Tukutane baada ya dk90
Nyie kuku jike leo mtaongea sana aiseeeeeBest Goalkeeper and Best Defender on Fireeee.
MkuuNaona mitutu haitemi ndugu...
Mikel kaona mbali bora akomae na FA kuliko huku...
YNWA