Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani wewe Jamaa ulishauriwa zamani kuwa wakati mwengine kaa kimya kwa Vitu vidogo usivyovijua lakini umekuwa mbishi!

Ukweli ni kwamba unatutia aibu washabiki wa Liverpool kuonekana hatujui lolote kumbe ni wewe peke yako ndiyo usiyeifuatilia Liverpool lakini kila kitu unataka ukizungumzie ili uonekane unajua wakati hapa kila Mtu anakucheka jinsi kichwani ulivyo mweupe kuhusu mpira.

Eti Hendo hakucheza! Hebu futa hizo takataka ulizoandika usiendelee kuumbuka hapa.
Jamaa yupo sheki kinoma afuu analeta hoja ambazo yeye mwenyewe hazijui
 
Bielsa is a class act..

20200718_195522.jpg
 
Yani hapa ndiyo tulipofikia Bingwa kuwa na Mentality za usajili wa wachezaji kama hawa wa Midtable Team kwa reference ya Robertson.
Wiljnardum
Robertson
Virgil
Filmino
Mane
Le captain Jordan Brian Henderson

Wote Hao wametoka Midtable Team mkuu, au hujui
Klopp knows,
 
Yani wewe Jamaa ulishauriwa zamani kuwa wakati mwengine kaa kimya kwa Vitu vidogo usivyovijua lakini umekuwa mbishi!

Ukweli ni kwamba unatutia aibu washabiki wa Liverpool kuonekana hatujui lolote kumbe ni wewe peke yako ndiyo usiyeifuatilia Liverpool lakini kila kitu unataka ukizungumzie ili uonekane unajua wakati hapa kila Mtu anakucheka jinsi kichwani ulivyo mweupe kuhusu mpira.

Eti Hendo hakucheza! Hebu futa hizo takataka ulizoandika usiendelee kuumbuka hapa.
Mechi na Watford hakucheza
But we ni mtu mzima sana, umenipita miaka mingi sana na heshima kwa hilo kwanza, ila akili yko ni ileile ya kizamani, naamin watu wanapokuwa hujua vingi ila ka kupevuks ni binadam mwenyewe kutaka, Liver anavyocheza Henderson akiwa ndani ni tofaut sana akiwa nje, akiwa ndan beki zetu na timu inajijenga, akiwa nje beki zinakuwa exposed, we ni aina ya watu wasiojua kuangalia na kupangilia mipango au kusukua mipango hiyo akili huna(samahan kwa hilo)
Unachojua ni kuona end product na mazao, we ni moja ya watu mliotayari kumpa sifa beki anaefunga magoli kuriko beki kisiki anaepitwa kwa bahati, anyways tutabishana ata miaka mia ila sitokuconvince unielewe mana ushachagua njia yako mkubwa, na hatujaanza leo hii mada, zaid zaidi utaniona tu mi nina dharau kitu nisichonacho
Mie sie mshabiki tena wa Liver na sitaki kushabikia timu ila ligi, sifaidiki nao na wala hawanijui, nilichotaka kama mshabiki nilipata na sijioni muhitaji tena so ushabiki nawaachia nyie wakuu
 
Wiljnardum
Robertson
Virgil
Filmino
Mane
Le captain Jordan Brian Henderson

Wote Hao wametoka Midtable Team mkuu, au hujui
Klopp knows,

Soma vizuri nilichoandika, Point sio kutoka Midtable team! Point ni kuwa mchezaji mwenyewe ni wa Midtable.

VVD alikuwa Midtable lakini hakuwa Mchezaji wa Midtable.
Karius yupo Top Team (Liverpool), lakini ni mchezaji wa Midtable.

Nadhani nimesaidia.
 
Mechi na Watford hakucheza
But we ni mtu mzima sana, umenipita miaka mingi sana na heshima kwa hilo kwanza, ila akili yko ni ileile ya kizamani, naamin watu wanapokuwa hujua vingi ila ka kupevuks ni binadam mwenyewe kutaka, Liver anavyocheza Henderson akiwa ndani ni tofaut sana akiwa nje, akiwa ndan beki zetu na timu inajijenga, akiwa nje beki zinakuwa exposed, we ni aina ya watu wasiojua kuangalia na kupangilia mipango au kusukua mipango hiyo akili huna(samahan kwa hilo)
Unachojua ni kuona end product na mazao, we ni moja ya watu mliotayari kumpa sifa beki anaefunga magoli kuriko beki kisiki anaepitwa kwa bahati, anyways tutabishana ata miaka mia ila sitokuconvince unielewe mana ushachagua njia yako mkubwa, na hatujaanza leo hii mada, zaid zaidi utaniona tu mi nina dharau kitu nisichonacho
Mie sie mshabiki tena wa Liver na sitaki kushabikia timu ila ligi, sifaidiki nao na wala hawanijui, nilichotaka kama mshabiki nilipata na sijioni muhitaji tena so ushabiki nawaachia nyie wakuu

Najua kuwa hakucheza game ya Watford, kwahiyo ndiyo Tafsiri ya ulichokiandika kuwa game nyingi hakucheza sio?

Enewey! Mara zote Mimi ninapopost hapa wewe ndiye unayejitia kiherehere cha kuniquote, halafu nikikujibu unaanza kulialia hapa na mioasho.

Si achana na posts zangu tu, yanini kuteseka?
 
Unasemaje Sasa.

Arsenal 2 City 0

🔥🔥🔥🔥

Haya bhana! Heshima kwako bingwa wa FA mara nyingi kuliko Timu yoyote ile.

Fanya sasa utinge Fainali uwaziuie Manure au Chelsea wamalize msimu bilabila ili nije nikurarue kwenye Ngao.
 
Najua kuwa hakucheza game ya Watford, kwahiyo ndiyo Tafsiri ya ulichokiandika kuwa game nyingi hakucheza sio?

Enewey! Mara zote Mimi ninapopost hapa wewe ndiye unayejitia kiherehere cha kuniquote, halafu nikikujibu unaanza kulialia hapa na mioasho.

Si achana na posts zangu tu, yanini kuteseka?
Ka umeandika upupu wote tukae kimya, ka hutaki kuquotiwa usiandike, tatizo lako sijui maisha unayoishi mzee wangu, kwa heshima zote, kama hutaki kujibiwa na hadhara kwann uiambie hadhara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom