Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha, huyu mwamba MosDef atakuwa yuko tight sana na kufanya scouting.

Natamani kusikia kutoka kwake kuhusu mipango ya usajili na majina anayoyapendekeza kwa uongozi.
Huyu jamaa mimi napenda kumuita Bro, hajawahi niangusha yupo poa sana....yupo kama Hendo maana yeye ndio siri ya mvuto wa hili jukwaa hapoi haboi hata wale watoto wakija wanatulia

Comment yake unaishia kulike tu,
 
Huyu jamaa mimi napenda kumuita Bro, hajawahi niangusha yupo poa sana....yupo kama Hendo maana yeye ndio siri ya mvuto wa hili jukwaa hapoi haboi hata wale watoto wakija wanatulia

Comment yake unaishia kulike tu,

We jamaa na Hendo wako, naona umeamua kutuchefua sana.

Endelea tu.
 
Ila leo uko kisheria, kutufunga ni ticket tosha ya wewe kumiliki hili jukwaa.
Ndugu yako Momo mzee wa mifano ya Liverpool anambwela tu studio huko,alikuwa na matokeo mfukoni nae
Sijawahi kumuona shabiki kiazi wa Liverpool kama yule,hata wewe ukikaa studio unaweza fanya ya maana kuliko utopolo anaoongea yule jamaa.
 
baada ya kuchukua taji bora angeanza kuwaanzisha wale watoto.........


sijui klop anatuma msg kwa maboss wake???...... anyway this way tukifanya ujinga wa kutosajili wachezaji wanaoeleweka next season top 4 tutaisikia kwenye bomba!
 
Naona leicester yupo juu ya nyumbu kwa gd

Game za Leicester ni ngumu mkuu, amebakiza game tata sana. Hawezi kutoboa.

Leo yuko na Sheffield, then ana Tottenham. Halafu anamaliza nao United.

Leo akishinda, hapo mechi yao ya mwisho ndiyo itaamua.
 
Ngoja tuone ,mechi ya leo kama leicester atatoboa mambo yatakua mukide maana pia Nyumbu yupo na Foxes hivyo mechi pande zote ni ngumu

Akishinda leo anakuwa na nafasi kwa kiasi fulani, maana atahitaji kushinda game yake na United hata kama atakuwa amepoteza ya Tottenham.

Ikitokea akashinda hii na ya Tottenham, Man United atakuwa na presha zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom