Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,457
Hii ilofungwa ndo liverpool nayoijua mimi
mimi Man U ila najua katika maisha ukishapata ulichokua unakitafuta basi motivation inaisha kabisa. Liver hawana tena morali ya kukaza kama walivyokua wanakaza mwanzoni mwa msimu sababu ubingwa wameshaupata.
kumtaka Liver atumie nguvu kumchalaza Man City ni sawa na kumtongoza mkeo mara ya pili.