Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani tunaangalia vitu katika mfumo unaotofautiana.

Unachojaribu kufanya ni ku devalue ubingwa huu kwa kisa eti amepoteza mechi zaidi ya moja ukilinganisha na Chelsea aliyewahi kuchukua kwa kufungwa mechi moja.

Maswali yangu ni mawili:
1. Arsenal aliyemaliza bila kufungwa, unamweka daraja gani?
2. Liverpool alishawahi kupoteza moja na hakuwa bingwa, je hiki ni bora kuliko kuwa bingwa kwa kufungwa mechi nyingi?
Kwa mimi hapo

Arsenal namweka daraja la Nyerere
Liverpool namweka daraja la mto ng'ombe
Chelsea namweka daraja la kwatumbo
 
Hata tufungwe mechi zote zilizobakia ,hata tushike nafasi ya 7 next season sina deni kwa hii team sina deni kwa Manager
EPL ndio ilikuwa kiu yangu tu
Nakazia🔨, misimu hii miwili liver imekata kiu yangu kubwa sanaa, trophy zote tulizochukua hakika hakuna ninachoidai hii timu, kilichobaki ni kuendelea kusupport team katika hali zote., Asante sana Liverpool, asante sana klopp. #YNWA
 
Statistics of the game:

Liverpool have failed to score in five consecutive away games in all competitions for the first time since April 1992, when they went eight on the road without a goal.

BBC.COM
 
Thiago very close to signing for Liverpool
20200703_041809.jpeg
 
Signings kwa Timu yetu ni jambo lisiloepukika!

Izingatiwe kuwa wachezaji wetu wengi wameshafika kwenye Peak zao! Sio rahisi kuboreka tena zaidi ya pale walipo.
Firmino not the same! He's finished ingawa wengi hawapendi haya maneno! But angalia assists na magoli yake Msimu huu then utajua What I mean.
Gini age is matter
Hendo age
Milner age
Salah reached his peak, he's starting to decline
Robertson reached his peak, same to Salah
Matip age
 
Naweza kuwa tofauti na wewe kidogo katika hili, but naweza kukubaliana na wewe tu kuhusu suala la kusajili basi maana hili ni muhimu sana, tukutane next season
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom