Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe kama LIVERPOOL HALISI unaanzaje kumkataa Henderson?
Siwezi kumkataa na wala sijamkataa, nisome vizuri utanielewa hoja yangu mkuu.
Sisi Wengine sio wazuri sana kujenga hoja kwa maandishi kutokana na uvivu wa kutype,
JF wangetuwekea sehemu ya kuweka michango yetu kwa maneno kupitia audio recording kama whatsapp,telegram n.k ili twende sawa
 
Nimemjibu huyo jamaa anayesema kwamba Ngwaba analalamika hivyo kwa sababu ya kufungwa jana.

Ngwaba hajawahi kukaa kimya akiona mapungufu ya timu, tuwe tumeshinda, draw au kufungwa.
Kweli kabisa Mfalme wa Liver Chipolopolo hanaga unafki, yeye akiona jambo lipo tofauti lazma atapike nyongo kwa makala zake sisi wadau wa humu tunamwelewa vema,
Nakupa pole ya kibingwa King Ngwaba maana huu msiba kama amefariki Laizer tu tumefiwa ila tuna urithi wa mabilioni
 
Sina uhakika kama Klopp atafanya usajili wowote mkubwa, sioni akimwondosha Bobby (ambaye kwangu ni garasha kwa sasa).

Binafsi ukiacha Fabinho, kwenye kiungo tuna wakati mgumu sana, sana. Mana Gini, Hendo hawana creativity kabisa, Milner kazeeka, Keita ni injury prone. Sasa kazi hapo ni ngumu.

Ukija kwenye defense, pembeni sina wasiwasi, ingawa Robertson anahitaji backup haraka, Matip majeruhi, Gomez ni mzuri kwenye one on one lakini siyo mzuri kwenye zoning kama Matip, kwa hiyo tunahitaji kuingia sokoni kwa nafasi ya beki wa kati.

Sina uhakika kama kuna kitachofanyika cha maana kwenye usajili ukichukulia mentality ya kocha wetu ya akishamkubali mchezaji hambadilishi mpaka alete majanga mengi.

Next season ni ya City vs Man Utd. Top 4 tutakuwepo.

Kiukweli Bobby ananisikitisha ka-drop ghafla sana

Kiungo kina hali mbaya kinahitaji ukarabati wa haja kunahitajika kiungo mpya mzoefu

Tukiacha stats za mchezaji mmoja mmoja kwa upande flani naamini tuta-challenge tittle up to first 15 games kwa nafasi 1 - 2 tutakuwa humo

City & united? Vipi Chelsea huioni humo?
 
Jinsi nilivyo ukubali ukweli wa udhaifu wa wachezaji wetu kupitia Namba (Stats) kwa kufanya Comparison between Two last seasons na season hii:

Andy Robertson ukiangalia performance yake msimu huu siye kabisa yule wa kupiga 10+ assists per season! Tumaini letu kwasasa ni TAA pekee! Na kwa wengine kama kina Bobby, Gini pia hawana performance nzuri msimu huu.

Tukikubali weakness zetu, titaweza kufanya Maamuzi na kufanya marekebisho ya kikosi chetu.

But iwapo tutaendelea Mentality za kuwa Salah is irreplaceable, No one like Origi, Milner is a Monster, Bobby is best no 10 in the world football, Timo Werner is not Klopp's type of player, Hakuna mchezaji wa kuweza kupata namba kwenye kikosi cha Liverpool kilichopo, Tupandishe U23 wachukue nafasi!!!! Tujiandae kutafuta visingizio next season.
mkuu mimi nakuelewa sana, nadhani tuliongea hapa mwezi wa 2 kama sikosei kwamba pale mbele panahitajika watu wapya!

tukasema kabisa, ikiwezekana ni afadhali mmoja kati ya Salah na Mane auzwe ili waletwe wengine wapya wawili..... lkn tulionekana hatuipendi timu!

tulimtaja sana Timmo werner humu, lkn leo kaenda chelsea tunasema sio Klop type of player! na hili ndio lilitucost hata tukakaa miaka 30 bila ubingwa!

makosa kama haya yalifanywa sana miaka ya 90 na makocha wetu, Cantona alikataliwa kwa sababu hizi hizi za ajabu
 
Kiukweli Bobby ananisikitisha ka-drop ghafla sana

Kiungo kina hali mbaya kinahitaji ukarabati wa haja kunahitajika kiungo mpya mzoefu

Tukiacha stats za mchezaji mmoja mmoja kwa upande flani naamini tuta-challenge tittle up to first 15 games kwa nafasi 1 - 2 tutakuwa humo

City & united? Vipi Chelsea huioni humo?

Chelsea Chemistry itasumbua first round, wataanza kupick late.
 
Siwezi kumkataa na wala sijamkataa, nisome vizuri utanielewa hoja yangu mkuu.
Sisi Wengine sio wazuri sana kujenga hoja kwa maandishi kutokana na uvivu wa kutype,
JF wangetuwekea sehemu ya kuweka michango yetu kwa maneno kupitia audio recording kama whatsapp,telegram n.k ili twende sawa
mkuu hapo hajakukosoa ila kuna msg ameituma...... wenye liverpool yetu tumemwelewa sana!
 
mkuu hapo hajakukosoa ila kuna msg ameituma...... wenye liverpool yetu tumemwelewa sana!
Wewe ndio hujaelewa,Don ameona huo mstari nilioandika kuwa hawana hata nusu ya uwezo wa kina SG,
mimi sijawahi kumponda JH ,mimi namjudge mchezaji kwa uwezo wake na anachochangia uwanjani, tatizo la anti-Hendo wengi wanakosoa kwa kutumia ulinganifu wa uwezo na mtu aliyepita! Na ndio maana nimemsifia JK kwa kuwaprove wrong wengi wenu Le capitaino kamwamini na kaongoza jahazi na chama limepiga mafanikio makubwa...

Alafu acha kusema wewe mwenye Liverpool yako wakati ni Liver Chipolopolo tu, "unajiitaje liverpool wakata hata kuta za Anfield hujawahi gusa" in voice of my bro MosDef

Halisi hapa.
 
hiyo aya ya mwisho nimecheka sana,..... sawa mkuu a.k.a liver halisi

mimi hendo sijawahi kumkubali i'm sorry mkuu....... yani sijawahi kumkubali kabisaaa!
 
Bingwa feki kacharazwa vinne
mimi Man U ila najua katika maisha ukishapata ulichokua unakitafuta basi motivation inaisha kabisa. Liver hawana tena morali ya kukaza kama walivyokua wanakaza mwanzoni mwa msimu sababu ubingwa wameshaupata.
kumtaka Liver atumie nguvu kumchalaza Man City ni sawa na kumtongoza mkeo mara ya pili.
 
Chelsea anataka kulinunua Kombe na so kupambania Kombe.

1) Pulisic
2) Zyech
3) Werner
4) Kai .....?
5) Chilwel ......?
6) ........ ?????
 
Liverpool hanunui Kombe bali anapambania Kombe.

1) After OX kupona from injury
2) Lovren kuendelea kubakia Liverpool
3) Milner kuwahi mapema mazoezini
4) Keita kupata uzima angalau wa mechi 1
5) Lallana kukosa Timu na kubaki Liverpool
6) Minamino kubadilisha hair style

Liverpool will announce kuwa "We've six new signings" as usually
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom