Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

RUMOURS:
THIAGO AĹCANTARA
Total agreement has been reached between Bayern munich and Liverpool.
 
Kuna tetesi za kumtaka Thiago Alcantara, Ningependa zaidi kuwaona wale wachambuzi wa 'Aina ya Wachezaji Wa Klopp' waje hapa kutoa maoni yao kuhusu Alcantara kabisa.

Wasiwe wanasikilizia show tu wanasubiri Dili liharibike aende Timu nyengine then Wanaibuka na Misemo ya kuwa 'Sikuwahi Kumkubali' , 'He's not klopp's type of Player', 'Haendani na Mfumo wa Klopp' na vijisababu vingi.

Tuliyaona maneno kama hayo baada ya kuwakosa ↓↓

• Fekir
• Aubamyang
• Joginho
• Pulisic
• Werner
 
Nikiwa kama mmoja wa aina ya wachambuzi hao unaosema,nasema hivi;

Huyu Alcantara sio type ya Klopp kabisa kwanza anapakapaka rangi ball,

Over.
 
Hii ni kwa Washabiki wa LiberpoolFC 😀😀

Enewey vipi Auba amekubali kuongeza Mkataba? Coz he's one only your savior
 
Manure tokea Warudi kwenye Corona wanajifanya kuwasha Moto! I'm scared
 
Kuna tetesi za kumtaka Thiago Alcantara, Ningependa zaidi kuwaona wale wachambuzi wa 'Aina ya Wachezaji Wa Klopp' waje hapa kutoa maoni yao kuhusu Alcantara kabisa.

Wasiwe wanasikilizia show tu wanasubiri Dili liharibike aende Timu nyengine then Wanaibuka na Misemo ya kuwa 'Sikuwahi Kumkubali' , 'He's not klopp's type of Player', 'Haendani na Mfumo wa Klopp' na vijisababu vingi.

Tuliyaona maneno kama hayo baada ya kuwakosa ↓↓

• Fekir
• Aubamyang
• Joginho
• Pulisic
• Werner
Thiago ana 29, mkuu utakua ni usajili wa kijinga kabisa.......
 
Pjanic mkuu ankwenda Barc kwa £60m hivi ana miaka 30 wao wanaona ana cha ku offer uwanjani...

Huyu Thiago ana 29 na sio kwamba alipo hatakiwi mbali ni ndoto yake kucheza EPL and seek new challenge and all along ana admire kufanya kazi na Klopp.. Pale alipo wanaogopa next year ataodoka bure mkataba ukiisha ndio maana sasa wanaona wamuuze now..

Personally naona anatufaa kwani hata bei yake inaedana na hali yetu...

YNWA
 
Why Traore and not Zaha?..
Zaha has attitudes issues but he has grown now even his performance is increasing though in zigzag trend... Price last year was around £70m kwa mwaka huu sijajua..

Traore is young with resale value..

wilfried_zaha-vs-adama_traore.jpg

YNWA
 
Thiago ana 29, mkuu utakua ni usajili wa kijinga kabisa.......
Labda humjui Thiago mzee.. Ni mmoja kati ya viungo wenye consistency nzuri uwanjani.

Kuhusu umri kama alivyoelezea jamaa huu hapo. Barca wamefanya swap ya dili la Arthur (23) kwa Pjanic (30). Na hapo utasemaje?

Kuhusu uchezaji wake na mfumo wa Klopp bila ya shaka utaendana sana, na vile vile huyu Thiago ana ufundi mwingi mguuni jambo litakaloongeza chachu za wachezaji na burudani pia.

Nina uhakika akija huyu jamaa, Fabinho itabidi atusubiri tu!
 
Thiago ana 29, mkuu utakua ni usajili wa kijinga kabisa.......

As long as ana uwezo mkubwa wa kuoffer kitu kwenye Midfielder yetu basi I don't care about his age! Remember tulimsajili Milner akiwa ana umri wa miaka 29 pia na hakuwa na hata nusu ya uwezo alionao Alcantara.
Hendo anaingia 31 but is regarded by Top Reds as our best player in Liverpool and EPL, why not Alcantara?
At 29 years we can use him for 4 season at his top level!
The good thing ni kwamba midfield zetu zote hatuna hata mmoja anayemkaribia Alcantara kwa uwezo.

Let's welcome him
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom