permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,333
- 15,049
Kwa miaka ya hivi karibuni, huu ni msimu wa mwisho Liver kushinda ubingwa wowote mkubwa, itabakia kuwa timu inayoshiriki.
Nakazia, misimu hii miwili liver imekata kiu yangu kubwa sanaa, trophy zote tulizochukua hakika hakuna ninachoidai hii timu, kilichobaki ni kuendelea kusupport team katika hali zote., Asante sana Liverpool, asante sana klopp. #YNWA
, misimu hii miwili liver imekata kiu yangu kubwa sanaa, trophy zote tulizochukua hakika hakuna ninachoidai hii timu, kilichobaki ni kuendelea kusupport team katika hali zote., Asante sana Liverpool, asante sana klopp. #YNWA