Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Ushaiqoute tayari hata nikiifuta haitasaidia.Utaishia kuifuta tu.
Ushaiqoute tayari hata nikiifuta haitasaidia.Utaishia kuifuta tu.
Ushaiqoute tayari hata nikiifuta haitasaidia.
Naweza kuwa tofauti na wewe kidogo katika hili, but naweza kukubaliana na wewe tu kuhusu suala la kusajili basi maana hili ni muhimu sana, tukutane next season
Unakuwaje bingwa alafu unachezea kipigo cha mbwa koko kiasi ichi? Bingwa unajidhalilisha sana ..sema nini bado mna sisi ivyo mcheze fair kama jana
Not true kwamba tumefungwa kwasababu tu tunacheza tukiwa tumeshabeba Ubingwa! Tunacheza hivi kwasababu huu ndiyo uwezo Wetu.
Kitu pekee kinachonipa Matumaini ni Ubingwa wa EPL.
Ili kusolve tatizo ni lazima kuaccept situation first (kukubali udhaifu wako).
Kuleta Visingizio kwa lengo la kutokukibali weakness zako hutoweza kusolve chochote.
TURUDI NYUMA KIDOGO
Msimu wa 2016/17 baadhi ya Mashabiki tulianza Kampeni Nzito ya kutaka mabadiliko kwenye Timu yetu tukiamini kuwa kwa Wachezaji wa Wakati huo wengi wao hawawezi kutupatia mafanikio yoyote kwenye Timu yetu.
Sadly Klopp aliikataa hii weakness na kusema kuwa Ni Crazy thing kununu wachezaji kwa mkwanja mrefu kama wanavyofanya Manchester.
Baadae tukasema wachezaji kama Mignolet/Karius/Lovren/Sakho/Moreno/Clyne/Lallana/Klavan/ and co hawa sio wachezaji wa kutupa ubingwa! Klopp alikataa udhaifu wao na kumsapport Lovren baada ya World Cup kuwa 'He's best Centre Back in the World'.
Lakini baada ya kutunguliwa na Real Madrid kwenye UCL ndipo akaamua kuukabali udhaifu wa Timu na hatimae akafanya Maamuzi kwa kuwaleta Alison, Fabinho, na wengine ambao walikwisha kutangulia! Hatimae mafanikio tumeyaona!
Na Tumeyaona tu sababu Klopp ameyakubali Madhaifu ya Wachezaji wake, Kukubali Madhaifu ndiyo kunasababisha kufanya Maamuzi.
Inaendelea................... ↓↓
Man U vipi?Bado naona ni Mancity na Liverpool
Mkuu kufungwa jana na city ndiyo uandika yote haya? Mbona hili andiko alikuandikwa mapema?
Najua umeumia kufungwa na city but ndiyo mpira mkuu. Pole sana
Mkuu kufungwa jana na city ndiyo uandika yote haya? Mbona hili andiko alikuandikwa mapema?
Najua umeumia kufungwa na city but ndiyo mpira mkuu. Pole sana
Mkuu kufungwa jana na city ndiyo uandika yote haya? Mbona hili andiko alikuandikwa mapema?
Najua umeumia kufungwa na city but ndiyo mpira mkuu. Pole sana
Wachezaji wetu wamechoka tena wamechoka haswaaa
Tuzungumzie ya jana tu
Unawaona kabisa akili inataka ila mwili unakataa kuna a lot of errors zimefanywa na back line yetu i.e moves za Robertson & Gomez (note: hawa siyo scape goat) kuna haja kubwa sana ya usajili next season ili kweli Klopp aendane na msemo wake wa 'we'll attack the trophy, not to defend' wala si kufurahi kuwa AFCON imefutwa basi timu haitakuwa na gap
Kufungwa kwa Jana kumeniuma sana
Kwahiyo unataka kubisha kuwa hamjafungwa JANA?tena usiku usikuTulipofungwa na ATM away Tuliambiwa kufungwa Jana tu?
Tulipofungwa na ATM home tuliambiwa kufungwa Jana tu?
Tulifungwa na Watford tukaambiwa kufungwa Jana tu?
Tukadraw na Everton tukaambiwa kudraw Jana tu?
Tumefungwa na Man City pia tunaambiwa kufungwa Jana tu?
Next pia itakuwa kufungwa Jana tu?
Kwahiyo always itaremain Kuwa JANA TU?
JANA FC



Ukweli mchungu ni kwamba ukijudge uwezo wa mchezaji mmoja mmoja hapo liverpool wengi wao ni wa kawaida sana, ila unapokuja katika kucheza kitimu aiseeeh ni wapambanaji kwelikweli kama walikuwa wanatumia booster na hili ndilo lililoleta mafanikio hapo Anfield.Sina uhakika kama Klopp atafanya usajili wowote mkubwa, sioni akimwondosha Bobby (ambaye kwangu ni garasha kwa sasa).
Binafsi ukiacha Fabinho, kwenye kiungo tuna wakati mgumu sana, sana. Mana Gini, Hendo hawana creativity kabisa, Milner kazeeka, Keita ni injury prone. Sasa kazi hapo ni ngumu.
Ukija kwenye defense, pembeni sina wasiwasi, ingawa Robertson anahitaji backup haraka, Matip majeruhi, Gomez ni mzuri kwenye one on one lakini siyo mzuri kwenye zoning kama Matip, kwa hiyo tunahitaji kuingia sokoni kwa nafasi ya beki wa kati.
Sina uhakika kama kuna kitachofanyika cha maana kwenye usajili ukichukulia mentality ya kocha wetu ya akishamkubali mchezaji hambadilishi mpaka alete majanga mengi.
Next season ni ya City vs Man Utd. Top 4 tutakuwepo.
maana ndiye aliyekuwa anafanya Hendo ajione kama SG, Robbo ajione kama J.A.R lakini kiukweli hata nusu ya uwezo wa hao watu hawana,
Ukweli mchungu ni kwamba ukijudge uwezo wa mchezaji mmoja mmoja hapo liverpool wengi wao ni wa kawaida sana, ila unapokuja katika kucheza kitimu aiseeeh ni wapambanaji kwelikweli kama walikuwa wanatumia booster na hili ndilo lililoleta mafanikio hapo Anfield.
Na nilishawahi kusema na ninasema tena wachezaji wametumia nguvu nyingi sana, wamejituma sana kinachofuata ni fatigue....
Kwangu mimi msure master ni Klopp,maana ndiye aliyekuwa anafanya Hendo ajione kama SG, Robbo ajione kama J.A.R lakini kiukweli hata nusu ya uwezo wa hao watu hawana,
Liverpool walikuwa na kitu kimoja tu ambacho timu zote za EPL hawakuwa nacho ni JK
Hands up to Klopp![]()
Sasa umesikia wapi msiba unaokosa waombolezajiWageni mnakuja mara tu tufungwapo, fatilia michango yote ya nyuma ya huyo mwamba kabla hujaja na hiyo post!


Sasa umesikia wapi msiba unaokosa waombolezaji
Wahenga wanasema"hakuna msiba usio na mwenyewe"
Na shughuli ni watu na watu ndio sisi![]()