Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
mkuu, unahisi ni kwa sababu zipi zitakazopelekea fabinho awekwe nje na thiago alcantara
Hao wote watacheza pamoja
THIAGO - FABI - HENDO
mkuu, unahisi ni kwa sababu zipi zitakazopelekea fabinho awekwe nje na thiago alcantara
ndicho ninachokifikiria (wijnaldum atatolewa sadaka)Hao wote watacheza pamoja
THIAGO - FABI - HENDO
Moto tuliuwasha tokea JanuaryManure tokea Warudi kwenye Corona wanajifanya kuwasha Moto! I'm scared
Muulize kilichomkuta huyo mbwehaNakukumbusha tu Wolverhampton hakuachi leo.


Walikuwepo watu zaidi yake wamekuja wamesepa,na yeye muda ukifika atasepa atakuja mwingine...ndio maisha ya footballHii ni kwa Washabiki wa LiberpoolFC 😀😀
Enewey vipi Auba amekubali kuongeza Mkataba? Coz he's one only your savior


Sawasawa kabisa Le capitainHao wote watacheza pamoja
THIAGO - FABI - HENDO

Sawasawa kabisa Le capitain![]()
Kikubwa KLOPP akimpa majukumu jamaa anayatimiza effectivelly,Kwa Captain hata aje Pogba basi atasubiri tu 😀😀
, mashabiki wanapiga kelele weeeeh, jamaa 
kikubwa alikuwa anapewa anachotaka ndani ya uwanja.Tunacheza na bingwa na huu mchezo tutaucheza kibingwa.
Anakuja kucheza nafasi gani?Pjanic mkuu ankwenda Barc kwa £60m hivi ana miaka 30 wao wanaona ana cha ku offer uwanjani...
Huyu Thiago ana 29 na sio kwamba alipo hatakiwi mbali ni ndoto yake kucheza EPL and seek new challenge and all along ana admire kufanya kazi na Klopp.. Pale alipo wanaogopa next year ataodoka bure mkataba ukiisha ndio maana sasa wanaona wamuuze now..
Personally naona anatufaa kwani hata bei yake inaedana na hali yetu...
YNWA
Kwa asivyo jiamini Clop hatovuluga kiungo chake labda waumie ndo apate nafasiLabda humjui Thiago mzee.. Ni mmoja kati ya viungo wenye consistency nzuri uwanjani.
Kuhusu umri kama alivyoelezea jamaa huu hapo. Barca wamefanya swap ya dili la Arthur (23) kwa Pjanic (30). Na hapo utasemaje?
Kuhusu uchezaji wake na mfumo wa Klopp bila ya shaka utaendana sana, na vile vile huyu Thiago ana ufundi mwingi mguuni jambo litakaloongeza chachu za wachezaji na burudani pia.
Nina uhakika akija huyu jamaa, Fabinho itabidi atusubiri tu!
huo usajili wa pjanic wenyewe naona barça wanajichimbia shimo tu...... mkuu at 29 aproaching 30 sidhan kama mchezaji kama huyo tunamhitajiPjanic mkuu ankwenda Barc kwa £60m hivi ana miaka 30 wao wanaona ana cha ku offer uwanjani...
Huyu Thiago ana 29 na sio kwamba alipo hatakiwi mbali ni ndoto yake kucheza EPL and seek new challenge and all along ana admire kufanya kazi na Klopp.. Pale alipo wanaogopa next year ataodoka bure mkataba ukiisha ndio maana sasa wanaona wamuuze now..
Personally naona anatufaa kwani hata bei yake inaedana na hali yetu...
YNWA
huyo thiago mpk aje kujenga maelewano na wenzake tayar atakua 30+, soon yatakua yale yale ya Keita!mkuu, unahisi ni kwa sababu zipi zitakazopelekea fabinho awekwe nje na thiago alcantara
ngoja waje wakupige mawe!...... nakumbuka ule mjadala wa werner tulipokua tunasema front 3 yenu inahitaji mtu mpya kuna watu walikua wanapinga sana!ROBERTO FIRMINO 2019/20 AT LiVERPOOL FC
• Game played 43
• Goals in all competitions (EPL, FA and CL) 9
• ASSIST 11
Tunashukuru sana kwa mchango wake na tutaendelea kumuenzi kama Legend but now he's not a player that we Want to win more Trophies
huo usajili wa pjanic wenyewe naona barça wanajichimbia shimo tu...... mkuu at 29 aproaching 30 sidhan kama mchezaji kama huyo tunamhitaji
liverpool sio sehemu ya kula pension, kwangu mimi bora tuwekeze kwa kijana under 23 hata kama bei yake itakua mara mbili ya thiago!,,, wakati huu tukiwa top ndio muda mzuri wa kujenga timu ya baadae vinginevyo tutarudi kule kule