Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tayari Watford alishatufunga, hatuna record yoyote ya defeat.
Hujaelewa Chelsea ya Mourinho ilibeba kombe baada kupoteza mechi 1, mkifungwa leo mtashindwa kumatch hii rekodi.

NB: Najua miaka ya zamani kuna timu nyingine zilibeba kombe baada ya kupoteza mechi 1 pia.
 
Mwaka jana tulipoteza mechi moja tu na hatukuwa mabingwa.

Mwaka huu tunapoteza mechi zaidi ya 2 na tumekuwa mabingwa.

Kati ya scenario hizo mbili, ipi unayoichagua?
 
Issue sio scenario ipi bora. Nachosema hapa ni rekodi(table) itakavyokuwa mwishoni mwa msimu, 2 loss vs 1 loss ya Chelsea so far, 73 min of the game. Obvious motivation imepotea, Wachezaji wamekosa hunger kwa kiasi fulani sababu wamepata walichokuwa wanapigania.
 
Nachokiona kwa mbali msimu ujao mtapoteana sana na mtagongeshwa ile mbaya.
 
Issue sio scenario ipi bora. Nachosema hapa ni rekodi(table) itakavyokuwa mwishoni mwa msimu, 2 loss vs 1 loss ya Chelsea so far, 73 min of the game. Obvious motivation imepotea, Wachezaji wamekosa hunger kwa kiasi fulani sababu wamepata walichokuwa wanapigania.

Ndiyo maana nikakukumbusha kwamba kama ni table ya 1 loss, Liverpool anayo msimu uliopita na hakupata ubingwa.

This time loss nyingi lakini amepata ubingwa.

BTW kuna unbeaten ya Arsenal, kama ni heshima ni hiyo ya unbeaten.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom