Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,026
Navyomjua pep tukishangaa tunaweza kula mkono saafi
Lakini hili kombe kwa hiki kiwango musimu ujao watalitema tu na litarudi kwa GuardiolaUkishabeba kombe na mechi kibao zimebaki, motivation inakosekana ndicho kinachowatokea hapa. 45 minutes zimebaki mharibu rekodi ya defeats.
Si tulishapoteza mechi moja Tayar ?Ukishabeba kombe na mechi kibao zimebaki, motivation inakosekana ndicho kinachowatokea hapa. 45 minutes zimebaki mharibu rekodi ya defeats.
Kwahiyo umekariri ndo kiwango hichi ndo msim ujao itakuwa hivyo?Lakini hili kombe kwa hiki kiwango musimu ujao watalitema tu na litarudi kwa Guardiola
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Rekodi ya kupoteza mechi 1 msimu mzima na ubingwa juu kama Chelsea ya Mourinho.Si tulishapoteza mechi moja Tayar ?
Rekodi kivipi??
Costly mistakesKuna kauzembe kanafanyika kwa mabeki afu sikaoni ata yani sioni team ikicheza vibaya ila tunafungwa tu.....
GomeeeeezKuna kauzembe kanafanyika kwa mabeki afu sikaoni ata yani sioni team ikicheza vibaya ila tunafungwa tu.....
Yeah mkuu ila kama Luna uwezekano ox angechkua nafac ya captain japo ni ngumuManchester City at thier best...
2nd half we need to win the second ball high in the pitch tofauti na hapo we are done...
When playing Citizens kuwapa this pockets to exploit is insane...
Kiungo kimesinzia kabisaaaaa...
Sio Gini wala Hendo wala Fabby mwenye ku handle City intensity...
City are bold, sleek and has a plan...
We wait King Klopp second half menu..
YNWA
Inaweza ikawa zaidi yaNavyomjua pep tukishangaa tunaweza kula mkono saafi
leo sijui.Game yetu na Mancity sisemi kuwa tutafungwa au tutashinda kwani kabla ya Game mechi huwa ni Draw. But this game gonna expose our squad.
Ukishabeba kombe na mechi kibao zimebaki, motivation inakosekana ndicho kinachowatokea hapa. 45 minutes zimebaki mharibu rekodi ya defeats.