Aaah mie sijapenda kipigo gani hiki
1593722984743.jpg
 
Issue sio scenario ipi bora. Nachosema hapa ni rekodi(table) itakavyokuwa mwishoni mwa msimu, 2 loss vs 1 loss ya Chelsea so far, 73 min of the game. Obvious motivation imepotea, Wachezaji wamekosa hunger kwa kiasi fulani sababu wamepata walichokuwa wanapigania.

Nadhani tunaangalia vitu katika mfumo unaotofautiana.

Unachojaribu kufanya ni ku devalue ubingwa huu kwa kisa eti amepoteza mechi zaidi ya moja ukilinganisha na Chelsea aliyewahi kuchukua kwa kufungwa mechi moja.

Maswali yangu ni mawili:
1. Arsenal aliyemaliza bila kufungwa, unamweka daraja gani?
2. Liverpool alishawahi kupoteza moja na hakuwa bingwa, je hiki ni bora kuliko kuwa bingwa kwa kufungwa mechi nyingi?
 
No, sijafanya hivyo. Liverpool wanastahili(stahiki) pongezi juu ya pongezi. Ukikaa chini ukaielewa post yangu ya kwanza nilisema motivation imepotea baada ya kulibeba kukiwa zimebaki mechi 7. Hii imesababisha kutoendelea kupigania kumaintain rekodi ya kupoteza mechi 1. Endapo wasingekuwa wamelibeba hadi sasa motivation ya kuweka rekodi (nayoongelea) ingekuwa bado ipo hai.
 
Back
Top Bottom