Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC imechoka, kuanzia beki, midfield mpaka forwards.

Sioni Liverpool tuliyotaka idominate Premier League na UEFA.
nimeangalia mechi 3 tu za liverpool msimu huu ukiachana na mechi ya jana niliobahatika kuiangalia kwa dakika 20 za mwishoni

Don kama tathimini yako inajumuisha zaidi mechi ya jana basi matokeo hayapaswi kuendelea kukupa presha kubwa sana mpaka kufikia hatua hiyo ya kuwafanyia tathmini ya jumla baadhi ya wachezaji wenu muhimu, wachezaji na wao ni sehemu ya kundi la binadamu waliopitia changamoto ile ile ya kukaa miezi mitatu bila ya kufanya shughuli zao rasmi,

kivyovyote wanahitaji muda, imani na support kutoka kila pande ya dunia ili waweze kuirudisha mentality ile ile iliowapa ushindi muliokuwa mukiufurahia humu ndani,

usisahau mechi ya jana mulicheza na wapinzani wenu wa jadi ambao kwanza wamefanikiwa kubadilisha mwalimu, jengine hata ukirudia mechi ya msimu uliopita utagundua ugumu wa matokeo mulioyapata pale goodison park ( hamjapata ushindi pale goodison kwa misimu mitatu)

jambo la kufurahisha zaidi kwa sasa timu yenu haichezi tena ikiwa kwenye hali ya presha kubwa sana (kwa sababu mulimaliza pambano mapema sana).

cool down brother
wengine tuna magonjwa yetu hayasemeki
sidhani kama mutarudi nyuma kwa sasa kama sisi
 
You're right! Firmino not the same anymore!

Sisi kutolewa UCL na Atletico Madrid kwa kupigwa Nje ndani haikuwa bahati mbaya bali ule ulikuwa ndiyo uwezo wetu.

Timu imechoka sana kwa wachezaji ambao tayari walishavuka peak zao.

But nimeona sehemu kuwa Klopp msimu huu atasaini.
Huu sasa usanii! Hivi sababu ya kufungwa na Atletico Madrid ni hiyo kweli? Mimi najua pale golini tulikuwa tumeweka shati ndiyo maana kila ikipigwa IMO! Tuwe wakweli, Becker Angekuwapo siku hiyo hali ingekuwa tofauti kabisa!
 
Binafsi nafikiri kwa sasa timu inatakiwa kucheza kwa kurelax sana maana kazi walioifanya huko nyuma ni kubwa sana na wanahitaji pongezi vijana wetu, tuache kulaumu na kulalamika hovyo kama tusiokuwa na matumaini yoyote
Mechi moja tayar watu wamepaniki.
Wale ni everton pale ni goodson park sio carrow road. Sio sehemu salama kwetu hata kidgo, kama ilivyo kwao wakija anfield.

Signing zitafanyika this is what im sure hatuna sheikh mansour hatuna watu kutoka abudhabi family hivyo klopp lazima aendane na hali ya maboss(na timu). Mimi sikifiri sana klopp ananyimwa au kubaniwa pesa za usajili mwenyewe alishazungumza huenda hii covid ikaathiri uchumi wa vilabu vingi lazima tathmini ya kina ifanyike. Utashangaa tunashindwa kulipo 250k halafu tunanunua 60M kwa mchezaj ambaye huenda akafeli.
Hatujawahi kua na utamaduni wa kuspend big

Nachoona kuna kuuzwa watu kuna mikopo itarudi kuna wa mkopo watatoka.

Klopp & Edward combo nzuri tu.
 
Hatari sana
 
Ombeni marudio basi! tuone kama hamtanyoshwa tena, kubalini ukweli kuwa timu yenu pumzi zimeanza kukata.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Without new signing next season we'll be damned I swear!

Timu yetu sio mbaya hivyo haihitaji usajili wa wachezaji wengi, but tunahitaji additions kama mbili tu, Striker na attacking Mid.
The rest wataendelea kupambana.

Bila kusahau left back
 
Kuna kitu najaribu kukiwaza lakini hakiji kwenye maandishi katika mfumo niutakao.

Liverpool FC imechoka, kuanzia beki, midfield mpaka forwards.

Sioni Liverpool tuliyotaka idominate Premier League na UEFA.

Next season will be one tough season to us.

Hivi ni macho yangu mabovu kwamba Firmino yuko kwenye decline au niko sahihi!

Firmino kwenye msimu lazima kuna muda a-drop mpaka unamkata then anarudi tena kwenye peak .... tuombe arudi kwenye form kabla ya city
 
Huu sasa usanii! Hivi sababu ya kufungwa na Atletico Madrid ni hiyo kweli? Mimi najua pale golini tulikuwa tumeweka shati ndiyo maana kila ikipigwa IMO! Tuwe wakweli, Becker Angekuwapo siku hiyo hali ingekuwa tofauti kabisa!

Jaribu kusoma mtiririko wa posts, usidokowe paragraph moja kwa ajili ya kuichallenge.
 
Binafsi nafikiri kwa sasa timu inatakiwa kucheza kwa kurelax sana maana kazi walioifanya huko nyuma ni kubwa sana na wanahitaji pongezi vijana wetu, tuache kulaumu na kulalamika hovyo kama tusiokuwa na matumaini yoyote

Mkuu hapa hatulalamiki bali tunaonesha Concerns zetu kuhusu our future.

Labda niwe sijui ni nini maana ya Concern
 
Binafsi nafikiri kwa sasa timu inatakiwa kucheza kwa kurelax sana maana kazi walioifanya huko nyuma ni kubwa sana na wanahitaji pongezi vijana wetu, tuache kulaumu na kulalamika hovyo kama tusiokuwa na matumaini yoyote

Mkuu hapa hatulalamiki bali tunaonesha Concerns zetu kuhusu our future.

Labda niwe sijui ni nini maana ya Concern
 
Mechi moja tayar watu wamepaniki.
Wale ni everton pale ni goodson park sio carrow road. Sio sehemu salama kwetu hata kidgo, kama ilivyo kwao wakija anfield.

Signing zitafanyika this is what im sure hatuna sheikh mansour hatuna watu kutoka abudhabi family hivyo klopp lazima aendane na hali ya maboss(na timu). Mimi sikifiri sana klopp ananyimwa au kubaniwa pesa za usajili mwenyewe alishazungumza huenda hii covid ikaathiri uchumi wa vilabu vingi lazima tathmini ya kina ifanyike. Utashangaa tunashindwa kulipo 250k halafu tunanunua 60M kwa mchezaj ambaye huenda akafeli.
Hatujawahi kua na utamaduni wa kuspend big

Nachoona kuna kuuzwa watu kuna mikopo itarudi kuna wa mkopo watatoka.

Klopp & Edward combo nzuri tu.

Kwenye mpira kila kitu kinawezekana kusemewa.

Siokweli wala sio sahihi kwamba tunayasema haya kwa mechi moja.

Tulisema haya before (kabla ya Ligi kusimama kwa Corona) hasahasa performances zetu baada ya Winter break.

Tulisimama kujadili mambo ya soccer kutokana na shughuli za michezo kusimama tu.
Na sasa tumeresume.

Not fair to say one game complaints
 
Kwa ugumu wa mechi ya jana kumponda minamino kwa thamani yake na kumuacha salama Chambalin upande wangu naona ni uonevu mkubwa kwa minamino
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom