Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahah Pamoja mkuu .....bado nilikuwa naiwazia ile game na ATM ..
Lakini yote kwa yote wacha tukipige weekend goli lishatanuliwa
#WeareLiverpool
#YNWAView attachment 1489128
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hili kombe linafuta machozi yoteeee ndugu....

πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ


YNWA
Mambo ni πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
 
Kwa mara ya kwanza naishuhudia timu yangu Liverpool akitwaa taji la EPL.

Makombe mengine nimeshuhudia yakitwaliwa na Liver walau mara moja tangu nilipokuwa shabiki mwaka 2003 lakini siyo Premier League.

Nilipitia misukosuko mingi sana, shuleni ama mtaani nilisakamwa sana.Kuna ule msimu wa 2009/2010, timu ilitumbukia mtoni.Tukawa ni watu wa Alihamisi ambako nako tuliambulia manundu.Vibanda umiza hawakuweka kipaumbele kwenye game za Liver.Timu ikawa ni ya Gerrad na Torres.

Alipokuja Klopp jua likaanza kuchomoza, tukaanza kufika fika fainali, mara makombe na sasa hivi Liverpool ndiye bingwa wa EPL.

Kama shabiki wa Liverpool, huu ndio wakati sahihi wa kuwa hai.....YNWA.
 
IMG_8308.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom