Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_8302.jpg
 
EbYy26AWsAExhCz.jpeg


Hahahaha kama vile hawapooooo.... So far tumeshinda game 28, tumedraw 2 na kupoteza 1..just wooow...

Yaliyopita ni 👇

Mara ooh kiduku atakinukisha blabla

Mara ooh Corona ligi inastishwa mazima blabla


Haha look now who has the last laugh 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

YNWA
 
Uo ubingwa utarudi kwetu next season..

CFC
Ollachuga Oc nikupe taarifa mapema ni kwamba sasa wewe ubingwa labda tena ni 2029 2030....

Kwanza Klopp sasa rasmi anaanza mzunguko wa pili wa mipango yake... Mzunguko wa kwanza umekamilisha leo sasa next round ndugu yangu ndio uwe tayari maana HATUPOI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

YNWA
 
Bahati mbaya tu mnasheherekea kombe baada ya miaka 30 huku mkiwa na barakoa na lockdown juu. Nawashauri muweke siku maalumu hapo baadaye ya kusheherekea ubingwa. Haiwezekani baada ya miaka 30 halafu mnasheherekea kimya kimya
 
Kumbe huu ndio ubingwa wa kwanza wa Premier League kwa Liverpool! HONGERENI sana
 
EbY4-TnWAAEumre.jpeg

Mkuu Southern Highland, Ollachuga Oc, Kimaro popote mlipo Tunashukuru mno kutuwaishia furaha na ubingwa wetu msimu huu....

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom