Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Thank you Klopp...
Surely you are the sent one...
Kwa wale wasiojua huyu jamaa atakua kwa majogoo mpaka msimu wa 2024...
Hahaha ni mwendo wa kuisaka EPL ya 20 sasa...
YNWA



Kaka wakina wlllian na pulisic tunawadiskasi SAA ngpAlivyorudi baada ya lile jeraha alipwaya fulani.. Alikosa ile identity tunayojua
Jana kapiga kazi kazi angalau tukamuone Fabulous Fabby OG...
awesome for real...
YNWA
Duh hao wenye 50 vipi Si umri wa MTU kabisaIdadi ya miaka ya ukame mpaka kuja kubeba kombe EPL
Spurs = 59 years
Chelsea = 50 years
Man City = 44 years
Arsenal = 42 years
Man United = 41 years
Everton = 33 years
Liverpool = 30 years
Hizi kondoo zinazokuja hapa na kumake fun of us kwamba ni muda mrefu na ingali walishakaa zaidi ya miaka 40 utafikiri walikuwa safari ya Jangwani kutoka Misri kwenda Kanaani!
![]()
Hahahahaha!!!!! View attachment 1489045