Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Idadi ya miaka ya ukame mpaka kuja kubeba kombe EPL

Spurs = 59 years
Chelsea = 50 years
Man City = 44 years
Arsenal = 42 years
Man United = 41 years
Everton = 33 years
Liverpool = 30 years

Hizi kondoo zinazokuja hapa na kumake fun of us kwamba ni muda mrefu na ingali walishakaa zaidi ya miaka 40 utafikiri walikuwa safari ya Jangwani kutoka Misri kwenda Kanaani!

Wenzako(Chelsea, Man City, Arsenal, Manchester United) walishakata gundu miaka kibao iliyopita. Ukishalibeba unaanza upya. Ndio maana walikuwa hawazungumzii hiyo miaka kama vile hawazungumzii walioteremka daraja. Tunajua kuna timu kubwa kadhaa zilishuka daraja na kurudi top flight katika historia zao.
 
1593144687234.jpg
 
Liverpool congrats on your successfull premier league campaign, champion's congrats again and all the best for the futureView attachment 1489082

We say thanks in loads...

Thanks pia for the goals video clips..

Keep em coming...

The future looks bright and scary haha we are ready though...

For now we enjoy the moments... Its feels superb being Champions amid all this corona chaos... We are grateful.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom