Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_8306.jpg
 
Hivi mbona fabi ni mwembamba sana Yale mashuti anayatoa wapi jamani..

Kajamaa chembamba ila shughuli yake sio kitt.
Fabi nilipomuona Kule Monaco nikajiuliza hivi hakuna team ya kumsajili??.
Halafu kizuri zaidi fabi ni kiraka.kuna kipindi kule Monaco alichezaga hadi beki ya kulia
Hahaha huyo ni Mr Fix wa Klopp... Popote anakaa na anapiga kazi fresh...

Siku utaona anakipiga namba 9 😂🤣🤣🤣

Real Madrid mwaka jana June walijafanya kuleta ofa Klopp akawaambie hauzwi hata kwa lipi....

YNWA
 
Long time Mkuu mmangO salama lakini.....

Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Mi naona wangemaliza kabisa na 2020 - 2021 season Hahaha..

YNWA
Hahahahah Pamoja mkuu .....bado nilikuwa naiwazia ile game na ATM ..
Lakini yote kwa yote wacha tukipige weekend goli lishatanuliwa[emoji38][emoji38][emoji38]
#WeareLiverpool
#YNWA
mmangO_15931496722344905.jpeg
 
Ubingwa wa hovyo kabisa ambao haujawahi kutokea duniani

Hivi kuna raha gani kuchukua ubingwa mpo lockdown +barakoa mdomoni ,hakuna mashabiki, sasa sijui ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Gundu bado lipo nyuma yenu,
 
Sawa tunashkuru kwa maoni yako karibu tena
 
Ubingwa wa hovyo kabisa ambao haujawahi kutokea duniani

Hivi kuna raha gani kuchukua ubingwa mpo lockdown +barakoa mdomoni ,hakuna mashabiki, sasa sijui ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Gundu bado lipo nyuma yenu,
Ni wivu tu unakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom