DadaKuna kaka bado sijaona mwandiko wake hapa.. nahisi namiss kitu.
MosDef nasubiri uandike nisome
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tufurahi pamoja.
Aiseeeee, sigara zingine bhanaLiver ni kama walibaka mwanafunzi yaani miaka 30 walikuwa jela.jokessssss
Hongereni sana wana liver next ni sisi washka mitutu



Liverpool congrats on your successfull premier league campaign, champion's congrats again and all the best for the futureView attachment 1489082
I love liverpool
kipindi cha covid tulbaki kop wa nne humu
I love liverpool
tufungwe hata wakicheza under 15 mimi naangalia
Just kukumbusha!
• Tuliposhinda UCL na Man City akashinda EPL "walisema CL ni rahisi kuliko EPL ndiyo mana tumeshinda CL lakini EPL imetushinda".
• Sasa tumeshashinda yote UCL na EPL sijui watasemaje!
Sasa hivi wamejificha kwenye miaka 30.
Countdown imehamia kwa Arsenal.



2/7 useme tujifunze ku appreciate.??Ubingwa ungechelewa, haya tungefungwa, jana usiku mngekenua meno shubamiiiiit zako. Waafrica tujifunze kuappreciate.
Wale waliokua wanatudhihaki wapo wapi?🤣🤣🤣
Moderetor hapo kwenye maandishi meusi ,Yanayosomeka League Tittles 18 Badilika weka 19 saaa......Msituletee uhuni.
Hahahahahahahahah
Una tatizo gani?
Moderetor hapo kwenye maandishi meusi ,Yanayosomeka League Tittles 18 Badilisha weka 19 saaa......Msituletee uhuni.