Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha huyo kwenye ma assist anakimbizana na KDB, hizo ndio level zake sio huko unakotaja...Ana assist nyingi kuliko viungo wa nyumbu ,arsenal, na takataka nyingine hhhab
YNWA
Hahaha huyo kwenye ma assist anakimbizana na KDB, hizo ndio level zake sio huko unakotaja...Ana assist nyingi kuliko viungo wa nyumbu ,arsenal, na takataka nyingine hhhab
next season utakua europa tenaNamdaka Sancho akichafue on right flank,Combo ya Brupogba ikifanya yake kwenye mid,tutachafuana sana next season
For the Meantime,Hongereni sana,ilikuwa kitambo sana..30yrs sio mchezo

Mpira ungekuwa unachezwa kwa mipango ya mdomoni kama hivi aiseeeee raha sanaNamdaka Sancho akichafue on right flank,Combo ya Brupogba ikifanya yake kwenye mid,tutachafuana sana next season
For the Meantime,Hongereni sana,ilikuwa kitambo sana..30yrs sio mchezo
Yaani Chelsea ndio inaamua kuipa au kuinyima liverpool ubingwa
HahahahahahI love liverpool
kipindi cha covid tulbaki kop wa nne humu
I love liverpool
tufungwe hata wakicheza under 15 mimi naangalia
Hahahahahah
wachawi huanza hivi hivi nduguAnzeni kuhesabu 30 nyingine sasa
Anzeni kuhesabu 30 nyingine sasa
Tumewafunga midomoJust kukumbusha!
• Tuliposhinda UCL na Man City akashinda EPL "walisema CL ni rahisi kuliko EPL ndiyo mana tumeshinda CL lakini EPL imetushinda".
• Sasa tumeshashinda yote UCL na EPL sijui watasemaje!
Tumewafunga midomo
Mkuu naheshimu sana michango yako kwenye platform hii Mungu akubariki YNWA View attachment 1489435