Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa ugumu wa mechi ya jana kumponda minamino kwa thamani yake na kumuacha salama Chambalin upande wangu naona ni uonevu mkubwa kwa minamino

Yaani Chamberlain kaisha kabisa na sioni kama anarudi tena kwenye kiwango.

Kuna muda ukikaa ukaiangalia Liverpool kwa umakini, utajiuliza ilikuwaje tukacheza game zote zile bila kupoteza.

Nahisi kulikuwa na nguvu za kutaka ubingwa wa PL, na baada ya kuupata morale imepotea.
 
Kwenye mpira kila kitu kinawezekana kusemewa.

Siokweli wala sio sahihi kwamba tunayasema haya kwa mechi moja.

Tulisema haya before (kabla ya Ligi kusimama kwa Corona) hasahasa performances zetu baada ya Winter break.

Tulisimama kujadili mambo ya soccer kutokana na shughuli za michezo kusimama tu.
Na sasa tumeresume.

Not fair to say one game complaints
Umeeleweka
 
Kwa ugumu wa mechi ya jana kumponda minamino kwa thamani yake na kumuacha salama Chambalin upande wangu naona ni uonevu mkubwa kwa minamino

Dah! Chamberlain na Keita ni wachezaji wanaoniumiza sana coz Walikuwa na uwezo wa hali ya juu but injuries zimwarudisha nyuma sana mpaka kupoteza uwezo wao.
 
Jana mtu alionekana hajapoteza ile morale ni matip. Matip alionekana kua na motisha nzuri sana niliipenda. Yeye na TAA nawapakesho 7/10.
Ila wengi miguu yao imepoteza uaminifu na akili yao. Tuwape muda lakini.
Minamino bado naona anakitu flani hivi.

1.Akipoteza mpira ni mrahisi kurudi kuipora sio mvivu dakika zote alizocheza nilimuona akiwa na hari. Bribbling yake ni nzuri sana ana control poa huwez muweka na origi meza moja kwsnye dribbling. Mina ni mzuri kwenye foward movements.

Hawa sioni wakibaki:
1.Lallana proved
2.Lovren proved
3.Shaqiri waiting...
4.Origi waiting...
5.Wilson waiting...

Hawa huenda tukawafuata
1.Traore
2.Neves
3.Cantwell
 
Dah! Chamberlain na Keita ni wachezaji wanaoniumiza sana coz Walikuwa na uwezo wa hali ya juu but injuries zimwarudisha nyuma sana mpaka kupoteza uwezo wao.
Hata klopp naona akipata kigugumizi kuwatoa either mkopo au kuuza anajua uwezo wao lkn injury prone ndio shida kwao.
Tumpe msimu huu ukimkata bora arudi ujerumani maana tutapoteza kipaji chake (n.b kutokana na injury)
 
Kuna Free kick moja ulipatikana karibu na box mida ya mwisho mwisho hivi.. Walikaa wawili pale, Fabinho na TAA. Lakini mwishowe Fabinho akatake the shot, it was a nice shot!
Ila bila ya shaka kama ile shot angeichkua TAA, mpira ungekuwa unacheka tu kwenye nyavu za juu!
 
Very nice shot indeed.
Faby alizungusha usawa wa pickford. Angeuzungusha kwa pembeni labda tungeongea mengine.
 
We will be king of europe and epl again. We are going to regain our kingdom in england. Kama wakija wote walau italeta ushindani na kuwabakisha wengine.
Tutakua na game changer walau 3-5 bench.
As long as Klopp is the gaffer i see us conquering... He wont buy for the sake of buying mpaka awe convinced the impact th player will bring to the squad...

In Klopp I trust and i pray that our American owners dont spoil this trend we have set to recapture our lost glory and we regain our lost dynasty...

Jana we were poor perhaps Klopp message to Fentway by not fielding Salah was to show how short of quality we are upfront when our usual front 3 mmoja wao hayupo...

We lack that fire in front when Salah, Bobby, Mane dont play together.. This need to be addressed this very window....

I watched Crystal palace game and come Wednesday we should be prepared for a real fight...

YNWA
 
dogo brewster leo katupia mbili huko....... may be jurgen is betting on him next season as a back up to firmino!
Hapana ndugu huyu abakie huko huko akomae vizuri...

Klopp rates him very highly naona baada ya kusahau majeraha amekaa sawa sasa na mwendo wa kutupia..

Support ya Bobby we need a proven one aisee..

YNWA
 
Umeshajibiwa na Bengalisis kuwa tumepigwa 3 bila. Kwahiyo mumebakisha points kama 4 hivi kutufikia na kutupita! Si ndiyo?

Acha povu mkuu. Mpira burudani. Jamaa kauliza mmefungwa ngapi mbona mnalalama wakati game imechezwa moja tu?

Kwan liver walisign mkataba kuwa hawatafungwa wala kutoa draw?

Hata kama una wachezaji bora na timu bora kufungwa na kutoa draw ni jambo la kawaida mkuu. So mnapotoa draw au mnapo poteza mechi haimanishi kuwa timu ni mbovu bali ni mbunu tu ndiyo zimegoma🤪🤪
Karibu
 
Sometimes tunatakiwa kuwaelewa wachezaji wanaposema wanataka kuondoka, kwa sababu hata timu ikiamua inaweza tu kumuuza mchezaji muda wowote hata kama yuko royal kiasi gani.

Tuichukulie kama business.

Mpaka sasa tunafanya vizuri sana kwa sababu ya hela tuliyoipata kwa kumuuza.
Well said comrade...

Mpira ni biashara aisee...

Kama kipindi kile aliona kule kuna maslahi mapana zaidi yetu ni sawa...

Kwa sasa tusahau yalioyopita tugange yajayo...

Hata Emre Can alikokwenda nako hakuweza fanikiwa uwajani alivyotarajia...

Tunahitaji game changer in C10 mould waliopo wote wamechemka...

YNWA
 
Yani inauzunisha sana na inauma sana kwakweli

Mkuu hakuna mchezaji anaependa kucheza kiwango cha chini. Bali inapotokea ujue kuwa mpira imemkataa kwa siku hiyo au ameamka vibaya. So husijaji mchezaji kwa mechi moja
 
Jana mtu alionekana hajapoteza ile morale ni matip. Matip alionekana kua na motisha nzuri sana niliipenda. Yeye na TAA nawapakesho 7/10.
Ila wengi miguu yao imepoteza uaminifu na akili yao. Tuwape muda lakini.
Minamino bado naona anakitu flani hivi.

1.Akipoteza mpira ni mrahisi kurudi kuipora sio mvivu dakika zote alizocheza nilimuona akiwa na hari. Bribbling yake ni nzuri sana ana control poa huwez muweka na origi meza moja kwsnye dribbling. Mina ni mzuri kwenye foward movements.

Hawa sioni wakibaki:
1.Lallana proved
2.Lovren proved
3.Shaqiri waiting...
4.Origi waiting...
5.Wilson waiting...

Hawa huenda tukawafuata
1.Traore
2.Neves
3.Cantwell

Matip ni mchezaji ambaye hata akae injury Mara 7 kwa mwaka basi akirudi anarudi na uwezo wake.
 
Kuna kitu najaribu kukiwaza lakini hakiji kwenye maandishi katika mfumo niutakao.

Liverpool FC imechoka, kuanzia beki, midfield mpaka forwards.

Sioni Liverpool tuliyotaka idominate Premier League na UEFA.

Next season will be one tough season to us.

Hivi ni macho yangu mabovu kwamba Firmino yuko kwenye decline au niko sahihi!
This has been with us for a long time...

Tukumbali tukatae we are in the decline..

Na njia murwa kabisa ku spice mambo ni kuleta new additions klabuni...

Kwa mfano bila Robertson na Milner hatuna backup wa uhakika kushoto zaidi ya Gomez ambae yeye hung'ara zaidi pale kati kuliko pembeni... Milner miguu imechoka hawezi leta mashambulizi kama Robertson...

Kua na ball possession bila kuleta magoli is useless... Jana we tried all alikosekana Shaqir, Lallana na Salah and yet tulitoka kapa..

Kloop need a serious overhaul otherwise tujiadae kwa maumivu msimu ujao...

Kutokana na matokeo ya jana we need 5 points to win the EPL...

Hopefully vs the Eagles 🦅 tufanya kweli zibakie pointi 3...

YNWA
 
Well said comrade...

Mpira ni biashara aisee...

Kama kipindi kile aliona kule kuna maslahi mapana zaidi yetu ni sawa...

Kwa sasa tusahau yalioyopita tugange yajayo...

Hata Emre Can alikokwenda nako hakuweza fanikiwa uwajani alivyotarajia...

Tunahitaji game changer in C10 mould waliopo wote wamechemka...

YNWA

Yes, kiukweli pamoja na kufanya vizuri, nafasi ya jamaa bado haijazibwa.

Na kadri tunavyokuwa tumebanwa kwenye wing backs ndivyo tunavyopotea kabisa kwa sababu hatuna creative mids wa kupasua.
 
Yes, kiukweli pamoja na kufanya vizuri, nafasi ya jamaa bado haijazibwa.

Na kadri tunavyokuwa tumebanwa kwenye wing backs ndivyo tunavyopotea kabisa kwa sababu hatuna creative mids wa kupasua.
Exactly ndugu our mids cant create scoring chances day in day out...

Our wing backs kama jana were trash..and when they are trash we suck dearly...

New idea is needed pale kati...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom