The boys look sharp today, Man.We are looking good today.
Duuh, huyu dogo kwa mipira iliyokufa ni hatari.1st goal. Alexander anorndView attachment 1488057
Duh mkuu sio Foxes tu, wapo na The Blades sijui baada ya mapumziko nini kimetokea... Yaani wanachapika...Leicester nao sijui walipatwa na nini tu? Nawaangalia tu hapa wanavyo struggles, Vady na Madson leo hawana tofauti na akina lacazette 2![]()
Huyu kijana kwa free kick ni hatari. Huwa nawaambia watu siku zote!1st goal. Alexander anorndView attachment 1488057
Kwa vile kuna hati hati ya City kukosa UCL next season basi hata wa nafasi ya 5 anachekelea...Ikitokea Chelsea akashinda game ya City, gape litabaki point 1 tu kati yao.
Naona kabisa ambavyo anaenda kuikosa namba 3.
Mzee Nuno anasaka namba 4 kwa nguvu zoteDuh mkuu sio Foxes tu, wapo na The Blades sijui baada ya mapumziko nini kimetokea... Yaani wanachapika...
Wolves karudi na moto wake...
YNWA
Thanks lol whats a masterpiece... Our 1st competitive goal after the long rest...1st goal. Alexander anorndView attachment 1488057
SureKwa vile kuna hati hati ya City kukosa UCL next season basi hata wa nafasi ya 5 anachekelea...
Mziki bado sana... Leo Wolves kashinda wanalingana pointi 49 na Manchester United..mbio za top 4 ni kali mno
YNWA
Na tangu ndogo Traore asikie Klopp has taken 'interest' basi karudi yupo 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 mbayaa....Mzee Nuno anasaka namba 4 kwa nguvu zote
Yule anaweza kutufaa sanaNa tangu ndogo Traore asikie Klopp has taken 'interest' basi karudi yupo![]()
![]()
![]()
![]()
mbayaa....
Nuno kasema hana uhakika kama msimu ujao Traore atakua nae... At least that some encouragement kama kweli Klopp is looking for the boy..
YNWA
The baddest bald Samba boy...Huyu FABINHO ndio ninayemjua mimi sasa.