Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Natamani sana tuwe na moyo wa kusamehe tumrudishe Coutinho.

Just business.
Mimi nimemsamehe.
Jamaa anatia hadi huruma. Klopp alimwambia baki hapa utakua legend huko unapopataka utaenda kua mchezaji mwingine kama makombe utayabeba. Nahisi alimweleza zaido ya haya kwa reference kabisa.

Hey philip angalia wangapi wameshindwa kushine mbele ya messi je ww utaweza? kumshinda messi ufungaji uchukue nafasi yake utaweza kwa sababu recogniyion ya ubora kwa sasa ni ufungaji na ishu ya kufunga barca ni kama ni ya messi ndio sababu ana record ya magoli mengi. wapo wazuri walionesha juhudi ila walimezwa na bora wa messi hatimayr waliondoka na kupotea je ww utaweza?

Philipe akakaza kichwa akang'ang'ania, akataka anataka kuondoka hata kwa kujilipia fee transfer (akijua barca itarudisha) akachochewa na barca ili ashinikize kuondoka naye akatuforce kweli kweli. Kumbuka kipindi hicho ni tegemeo letu hasa tukibanwa anatumia range shot na zilitubeba sana kwenye mechi ngumu.
Klopp akamrudia (baba anamuomba mtoto jambo jema) basi philip baki hadi end of this season. Ni ili tu atubebe maana tulikua pazuri both CL & EPL ili tumalizie round ya pili kisha tukuruhusu uondoke.

Philip; kichwan mwake akimuwaza messi suarez pique hapana mimi nataka niondoke.

Hatimaye philip akaondoka angali tunamuhitaji kuliko kipindi chochote kile, kipindi cha pili cha msimu halafu tegemeo anaforce kuondoka ni maumivu ya kuachwa na mdada alafu unayapokea matokeo hasi ya kitu ulichokifuatilia muda mrefu.

Emri Can alikubali kubaki na sisi mpaka end of that season.

PAINFULL HISTORY.

Nimemsamehee philip kwa sababu ya nature ya brazilian wengi. Wanatoka maisha magumu timu wanazozitaka ni barca. Na madrid.
 
Wakuu hii ya Saido Mane kukataa kusaini mkataba mpya mwezi wa tisa tangu amepewa mbona kama ndogo yupo mbioni kuodoka...

Naona media zinasema tukipewa £150m basi ataodoka..

Wengine wanadai aje Mbappe and Mane head the other way, player swapping lol..

Kama ni kweli anakataaa kusaini ili aodoke basi hapa hakuna namna tupate hio £150m ila kama ana delay ili mshahara wake pengine hajaridhika nao basi Edwards wapambane apate pay inayoedana na kazi yake...

YNWA
 
Msimu wa pili unaelekea kupita bila ya usajili.
Tutakuja kulijutia hili.
Seems Klopp has to sell before he buys...

Nowdays a coach like Klopp cant commit long term contract bila kua assured support in signing his targets if the price makes sense...

Well behind the scene itakua guys are working hard to nail Klopps target..

Failure to that kwa kweli sio tu Mane atakimbia mbali pia, Klopp, Salah, VVD, Allison, Faby nk...

Game changer ni corona its has affected finance plan in this industry...

Muda utasema naona dirisha la usajili linafungwo October hivyo tuwe na subira..

YNWA
 
Mimi nimemsamehe.
Jamaa anatia hadi huruma. Klopp alimwambia baki hapa utakua legend huko unapopataka utaenda kua mchezaji mwingine kama makombe utayabeba. Nahisi alimweleza zaido ya haya kwa reference kabisa.

Hey philip angalia wangapi wameshindwa kushine mbele ya messi je ww utaweza? kumshinda messi ufungaji uchukue nafasi yake utaweza kwa sababu recogniyion ya ubora kwa sasa ni ufungaji na ishu ya kufunga barca ni kama ni ya messi ndio sababu ana record ya magoli mengi. wapo wazuri walionesha juhudi ila walimezwa na bora wa messi hatimayr waliondoka na kupotea je ww utaweza?

Philipe akakaza kichwa akang'ang'ania, akataka anataka kuondoka hata kwa kujilipia fee transfer (akijua barca itarudisha) akachochewa na barca ili ashinikize kuondoka naye akatuforce kweli kweli. Kumbuka kipindi hicho ni tegemeo letu hasa tukibanwa anatumia range shot na zilitubeba sana kwenye mechi ngumu.
Klopp akamrudia (baba anamuomba mtoto jambo jema) basi philip baki hadi end of this season. Ni ili tu atubebe maana tulikua pazuri both CL & EPL ili tumalizie round ya pili kisha tukuruhusu uondoke.

Philip; kichwan mwake akimuwaza messi suarez pique hapana mimi nataka niondoke.

Hatimaye philip akaondoka angali tunamuhitaji kuliko kipindi chochote kile, kipindi cha pili cha msimu halafu tegemeo anaforce kuondoka ni maumivu ya kuachwa na mdada alafu unayapokea matokeo hasi ya kitu ulichokifuatilia muda mrefu.

Emri Can alikubali kubaki na sisi mpaka end of that season.

PAINFULL HISTORY.

Nimemsamehee philip kwa sababu ya nature ya brazilian wengi. Wanatoka maisha magumu timu wanazozitaka ni barca. Na madrid.
Lets the boy come back.. Binafsi sina chuki nae... He did what he had to do in that particular moments and well its has back fired dearly...

We bought this boy from Inter akiwa majeruhi for £8m...we sold him £146m and with that cash we bought Allison and VVD since the we have won what we couldn't win tukiwa nae...

So we had the last laugh..

Barca are desperate kiasi wapo tayari kama Klopp hatamchukua basi Everton wamchukue...

Mpaka sasa bei yake itakua around £50m...

Maisha yamebadilika sana kwa this little magician...

Dembele nae Barca wanamtoa aidha mazima kwa around £50m or mkopo.... Klopp might be tempted kwa Dembele...

Who knows may be Klopp will bring the both...

YNWA
 
Wakuu hii ya Saido Mane kukataa kusaini mkataba mpya mwezi wa tisa tangu amepewa mbona kama ndogo yupo mbioni kuodoka...

Naona media zinasema tukipewa £150m basi ataodoka..

Wengine wanadai aje Mbappe and Mane head the other way, player swapping lol..

Kama ni kweli anakataaa kusaini ili aodoke basi hapa hakuna namna tupate hio £150m ila kama ana delay ili mshahara wake pengine hajaridhika nao basi Edwards wapambane apate pay inayoedana na kazi yake...

YNWA

Kwenye mishahara hapo tunazingua kwa wachezaji wetu,
Wachezaji wanalipwa kidogo sana kulingana na kazi wanayofanya hilo la mishahara kila mchezaji akishakuwa na sehemu ya kwenda watamlipa hela nyingi lazima wataondoka tu.
 
Yaani sioni Mane akibaki aisee hii haijakaa sawa...

Mane akiwa fit ni one of the toughest guys in EPL..

Ile harmony and combination ya Salah, Mane and Bobby has done us wonders... Kuwaza mmoja aodoke kisa tu mshahara ni ngumu kuamini...

Mane is worth salary ya £300, kwa wiki kama Sanchez, Degea nk wanalipwa vile basi Mane and his crew deserves more and more maana boys has delivered whats we have been claiming since 1989-1990 season.. That is EPL trophy 🏆....

Mpaka Nike walipambana kuwa nasi ni kwa sababu we are winners and all down to this down to earth boys.. Tuna kikosi kidogo sana na hawa jamaa wanajitoa...

Klabu is now making profits big time, value imekua maradufu... All this down to the boys...

Hopefully hii itakua wake up call...

This days its all about money aisee nothing else...

YNWA
 
Yaani sioni Mane akibaki aisee hii haijakaa sawa...

Mane akiwa fit ni one of the toughest guys in EPL..

Ile harmony and combination ya Salah, Mane and Bobby has done us wonders... Kuwaza mmoja aodoke kisa tu mshahara ni ngumu kuamini...

Mane is worth salary ya £300, kwa wiki kama Sanchez, Degea nk wanalipwa vile basi Mane and his crew deserves more and more maana boys has delivered whats we have been claiming since 1989-1990 season.. That is EPL trophy ....

Mpaka Nike walipambana kuwa nasi ni kwa sababu we are winners and all down to this down to earth boys.. Tuna kikosi kidogo sana na hawa jamaa wanajitoa...

Klabu is now making profits big time, value imekua maradufu... All this down to the boys...

Hopefully hii itakua wake up call...

This days its all about money aisee nothing else...

YNWA
They ain't Europeans or 'white'..hiyo ndo changamoto.

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
He's FRENCH. That's what helps him.

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
🤣🤣 African Africans we are doomed...

Nwa when one door is closed another one is open... Sina kinyongo na Mane kama kwa bidii na kazi kazi anaona kwingine watamlipa vzuri kuliko sisi then all the best.. Umri wake umetembea pia.. He need a bigger fat contract in that age...

No hard feelings...

YNWA
 
Lets the boy come back.. Binafsi sina chuki nae... He did what he had to do in that particular moments and well its has back fired dearly...

We bought this boy from Inter akiwa majeruhi for £8m...we sold him £146m and with that cash we bought Allison and VVD since the we have won what we couldn't win tukiwa nae...

So we had the last laugh..

Barca are desperate kiasi wapo tayari kama Klopp hatamchukua basi Everton wamchukue...

Mpaka sasa bei yake itakua around £50m...

Maisha yamebadilika sana kwa this little magician...

Dembele nae Barca wanamtoa aidha mazima kwa around £50m or mkopo.... Klopp might be tempted kwa Dembele...

Who knows may be Klopp will bring the both...

YNWA
We will be king of europe and epl again. We are going to regain our kingdom in england. Kama wakija wote walau italeta ushindani na kuwabakisha wengine.
Tutakua na game changer walau 3-5 bench.
 
Kikosi

IMG_3376.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom