Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu naombeni mwenye kujua online tv zinazoonyesha mpira wetu au ligi ya England msaada naombeni nipo ukweni huku cwezi Kesha kwa tv yao
 
Download liveNet tv google
But kama hutumii android10
 
dogo brewster leo katupia mbili huko....... may be jurgen is betting on him next season as a back up to firmino!
Tofautisha team mkuu na namna anatumikaje mana Liver alikua analuka luka tu

Au kiwango kimepanda tayari?
 
Natamani sana tuwe na moyo wa kusamehe tumrudishe Coutinho.

Just business.
Kalinekera sana kale nikikumbuka tulipo katoa hafu eti kanasingizia kuumwa kakimaanisha hakataki kucheza tena mpaka kocha akamsusa ile ni laana japo wengine hawa amin katika hilo.

Unazani akirudi atakua bora tena?

Na arudi maana kesha jifunza
 
Sometimes tunatakiwa kuwaelewa wachezaji wanaposema wanataka kuondoka, kwa sababu hata timu ikiamua inaweza tu kumuuza mchezaji muda wowote hata kama yuko royal kiasi gani.

Tuichukulie kama business.

Mpaka sasa tunafanya vizuri sana kwa sababu ya hela tuliyoipata kwa kumuuza.
 
Pamoja na hilo mahitaji ya tim ni muhimu zaidi kuliko mchezaji.wachezaji wanatakiwa kutambua hilo hawana tofauti na jeshi unaenda kwa hiari yako ukisha ingia unatakiwa kutii amri ushakua dhamana ya wana nchi tayali
 
Hiyo ni style za kipindi cha nyuma bro, sasa hivi mchezaji naye ni institution.

Back then ilikuwa watu wanacheza kwa kujali badge ya timu. Siku hizi ni business business.
 
Na hapo ndo mpira ulipo halibika yani pesa hii dah pesa imeondoa ubinadam wote.

Yani asa ivi hatuoni kanzu au tubo labda kwa bahati mbaya.
Ukipiga chenga za maudhi hufai yan ni mdhalilishaji dah.

Yani myakaa hii zaidi ni ufundi wa makocha tu

Hii wazungu ndo wameitengeneza nahis maana wao ndo hawana vipaji ili kuteka soka wakusuka plopaganda mara mpira magoli.

Ama kwa hakika tutafata mila zao labda wasitake

Mungu atuepushe nao mfano wa corona.

Joki ha haaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom