Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
HahahahahahahahahKwenye Mpira kila Mtu anaangalia kwa Macho yake na Anaongea kulingana na Mtazamo wake! So, kila Mtu ni bora aconcentrate kuandika kile alichokiona yeye kuliko kuconcentrate na Comments za wenzake.
Kuvamia Comments za watu ni jambo lililopitwa na wakati.
Andika ulichokiona mchezoni na si ulichokiona Jukwaani kikaiandika mwengine.
