Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

This has been with us for a long time...

Tukumbali tukatae we are in the decline..

Na njia murwa kabisa ku spice mambo ni kuleta new additions klabuni...

Kwa mfano bila Robertson na Milner hatuna backup wa uhakika kushoto zaidi ya Gomez ambae yeye hung'ara zaidi pale kati kuliko pembeni... Milner miguu imechoka hawezi leta mashambulizi kama Robertson...

Kua na ball possession bila kuleta magoli is useless... Jana we tried all alikosekana Shaqir, Lallana na Salah and yet tulitoka kapa..

Kloop need a serious overhaul otherwise tujiadae kwa maumivu msimu ujao...

Kutokana na matokeo ya jana we need 5 points to win the EPL...

Hopefully vs the Eagles 🦅 tufanya kweli zibakie pointi 3...

YNWA

City anacheza kabla yetu na baada yetu.
Akifungwa tukashinda .it's over.
Aki draw tukashinda it's over
Akishinda tukashinda halafu akafungwa .
Tutakuwa mabingwa kabla hatujacheza tena
 
City anacheza kabla yetu na baada yetu.
Akifungwa tukashinda .it's over.
Aki draw tukashinda it's over
Akishinda tukashinda halafu akafungwa .
Tutakuwa mabingwa kabla hatujacheza tena
Kwa City hii ninayoiona hapa vs Burnley, mzee baba tushinde mechi zetu tu tusisubiri wao ku draw ama kufungwo..

YNWA
 
Kuna wezekano mukubwa mukanyang'anywa tonge mdomoni..

City ana wazoom tu..

CFC
Mkuu Ollachuga Oc habari za Arusha mzee...

Ki ukweli ingekuwa utofauti ni pointi 10 aisee ningekua na wasiwasi mno maana kiwango cha Citi kimerudi aisee ni kama vile walikua wanafanya mazoezi kimya kimya kwenye lockdown 🤣🤣🤣🤣....

Hili la ubingwa wasahau ndugu labda msimu ujao....

YNWA
 
I
IMG_8290.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom