Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kutokana na mishahara tunayo lipa tutapata wachezaji wenye mapenzi na team au chipukizi

Vvd asinge wakataa Chelsee tusingempata
 
Hello Fans,

I'm back again

Leo naanza na swali la kiuchokozi tu kwa Mashabiki wenzangu wa Liverpool.

Kwanini Timu yetu inapotaka mchezaji sote tunaisupport kwa 100% na hatuoneshi doubt yoyote ile juu ya mchezaji huyo, Lakini inapotokezea kumkosa mchezaji huyo kwa any reason wanaibuka baadhi ya Watu na kuacha uchambuzi wa kusema "HE IS NOT A TYPE OF KLOPP'S PLAYER"?

Mfano hai ni:
1) Nabil Fekir
2) Pulisic
3) Werner

Hao wachezaji tulipowataka hapakuwa na wachambuzi bali palikuwa na watu ambao tupo very curious kuona tunawanasa watu hawa, lakini tulipowakosa tu kukaibuka Wachambuzi wakasema "Sio aina ya wachezaji ambao Klopp anawahitaji, Hawawezi kuendana na mfumo wa Klopp".

Kwanini tunakuwa Wachambuzi wa kuona mapungufu baada ya kukosa tu? Au ndiyo sizitaki hizi mbichi?

Nawasilisha.

Nimeanza na Uchokozi

I'm Troublemaker

#SISINIMABINGWA
Pulisic binafsi sikuona potential yake, ila Nabir na Timo aisee tumekosa vifaa....huo ndio ukweli!
 
Man karibu sana ndugu King 👑......

Honestly kumkosa Nabir na Timo is a loss kwetu... Japo Nabir ishu ilikua ni lile jeraha lake mguu kujirudia tukachomoa mazima... Japo alipo yupo fire mnoooo....

Timo tumeaumia kwa kweli that boy has class and potential andan still at 24...

Pulisc no comments...majeraha yamemzuia kuonyesha why Klopp was targeting him... Hopefully next seasob he will be fit..

YNWA
 
Hello Fans,

I'm back again

Leo naanza na swali la kiuchokozi tu kwa Mashabiki wenzangu wa Liverpool.

Kwanini Timu yetu inapotaka mchezaji sote tunaisupport kwa 100% na hatuoneshi doubt yoyote ile juu ya mchezaji huyo, Lakini inapotokezea kumkosa mchezaji huyo kwa any reason wanaibuka baadhi ya Watu na kuacha uchambuzi wa kusema "HE IS NOT A TYPE OF KLOPP'S PLAYER"?

Mfano hai ni:
1) Nabil Fekir
2) Pulisic
3) Werner

Hao wachezaji tulipowataka hapakuwa na wachambuzi bali palikuwa na watu ambao tupo very curious kuona tunawanasa watu hawa, lakini tulipowakosa tu kukaibuka Wachambuzi wakasema "Sio aina ya wachezaji ambao Klopp anawahitaji, Hawawezi kuendana na mfumo wa Klopp".

Kwanini tunakuwa Wachambuzi wa kuona mapungufu baada ya kukosa tu? Au ndiyo sizitaki hizi mbichi?

Nawasilisha.

Nimeanza na Uchokozi

I'm Troublemaker

#SISINIMABINGWA
Ndio human nature behaviour za wanadamu. Moja ya vitu vigumu ku control ni emotion ila kuna utofauti kati yetu na wazungu kwenye conyrol of emotion.

Mf. Wakati salah anabeba kiatu na kua 2nd in the league watu tulipraise mno ila msimu huu imefikia kiasi cha watu kusema awekwe benxhi shaqir achukue no yake wengine walisema auzwe kabisa orig na shaq wapewe nafasi.

Naweza kukujibu hivi tumejengwa katika KUPOKEA kukosa sio sehemu ya maisha yetu ni mentality nzur ila ikizidi unageuka kero. Kwenye KUPOKEA tunapata kitu kingine KUJITETEA KUKIKOSA TULICHOKITAKA ni ngumu mwanadamu kuonesha ukosefu ndani yake.

Hii sio kwetu ni football overall.
Nikupe mf. Unewahi kumkuta mwanaume yupo kwenye process ya kuachwa? Atabembeleza kwa kisha kisha ikishindikana ataanza kwanza mdada mwenyewe sio mzuri kwanza nimeshampitia and the likes hii ni kutaka KUZITETE HISIA zake ni kutaka KUONESHA HAJASHINDWA. Connrmect dot na hili uliloongea ni kitu cha kawaida as long as every human hasa his own thinking capacity.

Kwa mimi mpaka kesho kumkosa Fekir naumia sana napenda uchezaji wa Fekir his powerful left foot, dribbling ability, pace shotibg n k
Werner same same mbali na ubora wake kwenda kwa majirani ndipo kunaleta uchachu...
 
Pulisic binafsi sikuona potential yake, ila Nabir na Timo aisee tumekosa vifaa....huo ndio ukweli!
Pulsic ni mchezaji ila wener inategemea na mfumo wa team Fekili nahisi kuna majungu tu si bure japo kuna manao tetea wazungu hawana kisongolokwinyo bonge la mchezaji yule
 
Hello Fans,

I'm back again

Leo naanza na swali la kiuchokozi tu kwa Mashabiki wenzangu wa Liverpool.

Kwanini Timu yetu inapotaka mchezaji sote tunaisupport kwa 100% na hatuoneshi doubt yoyote ile juu ya mchezaji huyo, Lakini inapotokezea kumkosa mchezaji huyo kwa any reason wanaibuka baadhi ya Watu na kuacha uchambuzi wa kusema "HE IS NOT A TYPE OF KLOPP'S PLAYER"?

Mfano hai ni:
1) Nabil Fekir
2) Pulisic
3) Werner

Hao wachezaji tulipowataka hapakuwa na wachambuzi bali palikuwa na watu ambao tupo very curious kuona tunawanasa watu hawa, lakini tulipowakosa tu kukaibuka Wachambuzi wakasema "Sio aina ya wachezaji ambao Klopp anawahitaji, Hawawezi kuendana na mfumo wa Klopp".

Kwanini tunakuwa Wachambuzi wa kuona mapungufu baada ya kukosa tu? Au ndiyo sizitaki hizi mbichi?

Nawasilisha.

Nimeanza na Uchokozi

I'm Troublemaker

#SISINIMABINGWA

Werner, to me hata kabla hatujamkosa sijawahi vutiwa naye kama ambavyo Karius kutokuwahi kuvutiwa naye

Hata tungefanikiwa kunasa sahihi yake ingenichukua muda sana kumuelewa
 
Hii style (Appearance) aliyokuja nayo Bobby anaonekana kama Haramia flani hivi kutoka Asia ya Kati may be Srilanka au Bangladesh.

IMG_3327.JPG
 
Sisis tumemchukua Timo, Zuyech ..ninyi mumemchukua nani..

Msimu ujao ni mwendo wa vipigo tu
 
Werner, to me hata kabla hatujamkosa sijawahi vutiwa naye kama ambavyo Karius kutokuwahi kuvutiwa naye

Hata tungefanikiwa kunasa sahihi yake ingenichukua muda sana kumuelewa
Acha unafiki wewe ..angekuja Anfield ungeandika utumbo huu
 
Kutokana na mishahara tunayo lipa tutapata wachezaji wenye mapenzi na team au chipukizi

Vvd asinge wakataa Chelsee tusingempata

Vvd alikuwa epl muda mrefu ila mechi yetu na Southampton alitukazia sana kiasi kwamba kila mwana Liverpool aliona uwezo wake,aliwazibidi mane na firmino,Baada ya hapo hapo hapakuwa na ubishi kwamba vvd anaweza.

Wakati huo timu zingine hawajaliona hilo. Hata chelsea hawakuona uwezo wake na timu zingine ndio maana wakaona kama tuna pigwa kwa hiyo hela kwa sababu alikuwa tayari epl.
 
Damn you David Luiz anatunyima kushangalia ubingwa wetu Jpili parking pale Goodison Park...

Luiz is doomed guys mara mbili anawaua Arsenal mechi ya leo na pia mpaka mechi ya leo amesababisha penati 4 msimu huu...

Kwa matokeo haya inatabidi tusibiri kutangaza ubingwa..

YNWA
Nyie kuku mnategemea arsenal awaletee ubingwa

Kila mtu ashinde match zake

bado everton anakuja kuwa showwwwwwwww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom