Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Tatizo tulilomaliza nalo kabla ya Ligi kusimama ndiyo tunaanza nalo baada ya Ligi kurejea
Minamino is not good enough,he is average player.
Mbona umekuja kwa kulaumu kijana, ebu tambua na aina ya mechi, binafsi naona wamecheza vyema tu, changamoto ni kwamba Everton huwa hafungwi kiwepesi na liverpool, yani Everton ni heri afungwe 10 na timu nyingine yoyote lakini si liverpoolTatizo tulilomaliza nalo kabla ya Ligi kusimama ndiyo tunaanza nalo baada ya Ligi kurejea
Mbona watu mnalalamika wakati timu inacheza vizuri tu.
Sisi hatuna de bryne tukumbuke hii ni derby pia. Timu inacheza vizuri tu au sijui mimi nimekaa juu ya tv naangalia ukutani.
So much so much hii timu icheze hata kila siku tu.I love liverpool
I love this team
so much
Watu wanasahau hii ni derby, more than rivals.Mbona umekuja kwa kulaumu kijana, ebu tambua na aina ya mechi, binafsi naona wamecheza vyema tu, changamoto ni kwamba Everton huwa hafungwi kiwepesi na liverpool, yani Everton ni heri afungwe 10 na timu nyingine yoyote lakini si liverpool
Nadhani ni moja ya mechanism hata ikitokea tumefungwa au tumetoa droo Basi aseme niliseme mimiMbona watu mnalalamika wakati timu inacheza vizuri tu.
Sisi hatuna de bryne tukumbuke hii ni derby pia. Timu inacheza vizuri tu au sijui mimi nimekaa juu ya tv naangalia ukutani.

Ni kweli mkuuLiv kama asenyoto tu
Hahah.Nadhani ni moja ya mechanism hata ikitokea tumefungwa au tumetoa droo Basi aseme niliseme mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umekuja kwa kulaumu kijana, ebu tambua na aina ya mechi, binafsi naona wamecheza vyema tu, changamoto ni kwamba Everton huwa hafungwi kiwepesi na liverpool, yani Everton ni heri afungwe 10 na timu nyingine yoyote lakini si liverpool
Mbona watu mnalalamika wakati timu inacheza vizuri tu.
Sisi hatuna de bryne tukumbuke hii ni derby pia. Timu inacheza vizuri tu au sijui mimi nimekaa juu ya tv naangalia ukutani.