Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie kuku mnategemea arsenal awaletee ubingwa


Kila mtu ashinde match zake


bado everton anakuja kuwa showwwwwwwww
Mkuu kwenye mpira kunakuwaga na ma sapraizi ya hatareee... Citi huyu huyu na ubora wake alikaa kwa Norwich hivyo hata Gunners wangeweza tu kumkalisha...

Nwa hapo sawa kila timu ishinde mechi zake na hicho ndio kimenifikisha hapa ndugu, msimu huu sijatarajia wengine wanichapie washindani wangu mie napiga tu...

Everton wale utulie wanapigwa ndugu...

Ubingwa waja hapa wanachelewesha ila mpaka naamini hata kikombe chenyewe kimeshaadikwa Liverpool Champions season 2019-2020..

YNWA
 
Vvd alikuwa epl muda mrefu ila mechi yetu na Southampton alitukazia sana kiasi kwamba kila mwana Liverpool aliona uwezo wake,aliwazibidi mane na firmino,Baada ya hapo hapo hapakuwa na ubishi kwamba vvd anaweza.

Wakati huo timu zingine hawajaliona hilo. Hata chelsea hawakuona uwezo wake na timu zingine ndio maana wakaona kama tuna pigwa kwa hiyo hela kwa sababu alikuwa tayari epl.
vvd ata Chelsea walimtaka ila bei ake ilikuw juu
 
Acha unafiki wewe ..angekuja Anfield ungeandika utumbo huu

Sijawahi kuwa na hako katabia

Angalia hii post nyingine kuhusu Werner ni ya lini

IMG_3343.JPG


So hata angekuja asingenistua
 
Kasahau huyo man city na chelseaa walielekea kufika bei jamaa ndo akaweka wazi anataka Liverpool nguvu zikawaishia ikawarahisi kwetu dirisha dogo
Onesha ni wapi aliweka wazi ..kama tungekaza angetua chelsea uyo..

Ata ivyo soon udavid luiz unamvizia..

CFC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom