Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! Kweli Mungu ni mwema [emoji23][emoji23]

Nilisema mengi kuhusu Adrian nikapingwa lakini leo kawa Exposed.

Nasubiri waliokimbia Uzi muda huu wakija hapa asubuhi au Mchana watakuja na vijisababu vya kutengeneza vingi vya kumtetea.
Acheni kumsingizia kipa, kama mlijua mbovu kwann mkampanga? Mmezidiwa huo ndio ukweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magoli yote matatu ni uzembe wa mabeki wakiongozwa na untouchable VVD jamaa limeflop limebakia nywele tu, yaani afadhali ya Said Juma Makapu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo VvD uwa ana tabia ya kuepuka 1 on 1 situation ili atunze ‘sifa’ ya ati players never dribble past him!! Uwa anakwepa sana hiyo hali. Goli la pili ni mfano halisi!
 
Ombeeni tu hiyo corona ipite... maana vinginevyo ubingwa mtausikia tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ni janga mkuu, kocha wa Arsenal na Odoi wa Chelsea tayari wanaumwo, familia ya Mendy wa City wamelazwa yeye mwenyewe anasubiri majibu ya vipimo kama anayo..Leicester nako wachezaji watatu wanaumwo nk...

Mungu atuepushe na hili janga huku tukiomba dawa ama kinga ipatikane mapema...

Uhai ni bora kuliko hio EPL ndugu... Mpaka sasa Uingereza kuna wagonjwa zaidi ya 500 na kumi wamesharipotiwa kufa hivyo ikifika mahala kusambaa kwa kasi kama Italy basi na hio ligi kwa kweli isamame tu kupisha vifo na maambukizi zaidi...

YNWA
 

Point nzuri sana kwa hii post ya kiuungwana uhai wa mtu ni muhimu toka moyoni nawaombea liverpool mchukue ubingwa tu
 
kwaio technically kosa sio la Adrian.....? ndio maana nawashangaa sana watu wanaomuona adrian ndio tatizo!


tatizo letu currently ni timu nzima, sio mabeki wala sio front 3
Ndio makosa yameazia mbele ajabu watu wanalaumu mwisho badala ya mwanzo tusinge ona makosa ya kipa kama washamuliaji wasingekosea
 
Kama mechi ya watford tungeahinda basi nahii tungeshinda kweli kama unavyosema

Acheni kumnyanyapaa Andriani makosa yapo pande zote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…